Hahahah.! Umri wake unaujua...?Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.
Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ni hatua kubwa.N
Naongezea kasajiriwa na benfica ila itampeleka kwa mkopo kwenye club ya olympiacos ya nchini ugiriki kwa mkataba wa miezi sita
utasikia hizi ni juhudi za awamu ya tanoMchezaji wa Tanzania anayekipiga Diffa al Jadid amesajiliwa rasmi na timu ya Benfica ya Ureno.
Source Wasafi TV.
Hongera sana mpambanaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usidanganywe na siasa uchwara za bongo, hakuna wakati kifua kilikuwa nyuma ama mgongoni.
siku timu yake inacheza na benfica alikiwasha mno jamaa wakasema huyu hatumuachiWacha afanikiwe jamaa amepigana sana na vilevile itakuwa chachu kwa vijana wadogo wawe na usongo wafuate nyayo zake.
Ukienda maeneo kama kigoma, Moro kuna watoto Wapo underground wana talents za kutosha ila hakuna mtu wa kuwachukua .
Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Mh John Pombe Magufuli kwa kumuwezesha Msuva kufika huko Ureno. JPM for life!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki zako kwa mtu aliyekuzidi Kila kitu zitakufikisha wapi?Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.
Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe Ndo Mbongo halisi...Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.
Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna watakachopata YangaHongera sana kwake Msuva.. kwa dau la ngapi mkuu?
Bila shaka Yanga wana% yao hapa