Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.

Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah.! Umri wake unaujua...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha afanikiwe jamaa amepigana sana na vilevile itakuwa chachu kwa vijana wadogo wawe na usongo wafuate nyayo zake.
Ukienda maeneo kama kigoma, Moro kuna watoto Wapo underground wana talents za kutosha ila hakuna mtu wa kuwachukua .
siku timu yake inacheza na benfica alikiwasha mno jamaa wakasema huyu hatumuachi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimya kimya mzee baba anaenda.
Kule genk kuna molinga aliechangamka..!

pia atacheza kwa mkopo panathiakos (spelling kama nimekosea) sio olimpiakos
 
Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
images.png
 
Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.

Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki zako kwa mtu aliyekuzidi Kila kitu zitakufikisha wapi?
 
Msuva ameanza vizuri zaidi kuliko hata mbwana samatta..huyu ndo atacheza epl maana hana majigambo. Huyu mwingine tatizo lake baada ya kufunga magoli 20+ pale genk kaanza kujiona mkubwa.

Eti yy mwenyewe anaanza kusema hajioni tena genk..! Msuva atafanya vizuri zaidi maana hana mdomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe Ndo Mbongo halisi...
 
Msuva na samatta si ajabu kufika huko mengine ni mipango ya mungu tu!! Amatuseme msuva alikuwa anasubiri tiki ya mungu tu! Sababu alikuwa anaonesha anahitaji kufika huko! Alikuwa na njaa ya mafanikio! Huwez fananisha na kina ngasa, ndugu zetu ajibu, mkude na wengineo wengi! Wao tayari wanaonekana ndio wameshafika pale walipo!! Mengine itokee tu zali la mtende na wengine hayo mazali wamekuwa wakiyakimbia

Kila la kheri kwake.
 
Back
Top Bottom