Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Sijui kama mbumbumbu wajua kwamba level ya Benfica ni kubwa kuliko Genk.
Maana hawakawii kuja na hoja mfu.
 
Hata hivyo ikitokea kasajiliwa hata Man. City ndo itakuwa furaha kwetu wtz wote. Ila kwa hao team Samatta vs Msuva kama wapo hao ni shauri yenu japokuwa itapendeza zaidi kama wote wawili wakipata timu kubwa zaidi na iliwezekana wote wasajiliwe Barcelona, Madrid, Liverpool, Juventus or any team of that std.
 
Wewe acha chuki zako
Dkt Jonas Tiboloha amekiri hilo kasema Simon Hapigod Msuva kasajiliwa na Benfica na atakwenda Greece kwenye klabu ya panathinaikos mpaka mwezi July kwa ajili ya uzoefu.
.
Lakini kacheza jana dhidi ya Casablanca hii haimaanishi hajasajiliwa taarifa rasmi ya usajili wake Benfica hawataitoa leo wala kesho kama unategemea hilo hafi mwezi July
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…