Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo ikitokea kasajiliwa hata Man. City ndo itakuwa furaha kwetu wtz wote. Ila kwa hao team Samatta vs Msuva kama wapo hao ni shauri yenu japokuwa itapendeza zaidi kama wote wawili wakipata timu kubwa zaidi na iliwezekana wote wasajiliwe Barcelona, Madrid, Liverpool, Juventus or any team of that std.Msuva haja saini kokote... Huyo Millard Ayo na Eddo Kumwembe ni wakupuuzwa tu...
Ni gazeti gani la michezo limetoa hiyo story ya Msuva?? Jana nilikua na waandishi wa mwanaspoti,wakaongea na Msuva mwenyewe aligoma, ingia kwenye website za benfica na panathinaikos kama kuna mtu anaitwa Msuva kasajiriwa na hizo team
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha chuki zakoMsuva haja saini kokote... Huyo Millard Ayo na Eddo Kumwembe ni wakupuuzwa tu...
Ni gazeti gani la michezo limetoa hiyo story ya Msuva?? Jana nilikua na waandishi wa mwanaspoti,wakaongea na Msuva mwenyewe aligoma, ingia kwenye website za benfica na panathinaikos kama kuna mtu anaitwa Msuva kasajiriwa na hizo team
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi ambacho sikijui wewe unakijua katika nililo changia? Au wadhani mimi ni ngumbaru kama weyeKama hujui kitu,hua ni busara kukaa kimya na kujifunza... Ili siku nyingine uwe na ubavu wakusema kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao wa Oktoba mpaka Desemba wengi wamechukua simu toka Lumumba kwa kazi maalumu.View attachment 1315306
Sent using Jamii Forums mobile app