Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Sijui kama mbumbumbu wajua kwamba level ya Benfica ni kubwa kuliko Genk.
Maana hawakawii kuja na hoja mfu.
 
ni kwamujibu wa
ben.jpg
ben.jpg
genk.jpg
 
Msuva haja saini kokote... Huyo Millard Ayo na Eddo Kumwembe ni wakupuuzwa tu...

Ni gazeti gani la michezo limetoa hiyo story ya Msuva?? Jana nilikua na waandishi wa mwanaspoti,wakaongea na Msuva mwenyewe aligoma, ingia kwenye website za benfica na panathinaikos kama kuna mtu anaitwa Msuva kasajiriwa na hizo team

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo ikitokea kasajiliwa hata Man. City ndo itakuwa furaha kwetu wtz wote. Ila kwa hao team Samatta vs Msuva kama wapo hao ni shauri yenu japokuwa itapendeza zaidi kama wote wawili wakipata timu kubwa zaidi na iliwezekana wote wasajiliwe Barcelona, Madrid, Liverpool, Juventus or any team of that std.
 
Msuva haja saini kokote... Huyo Millard Ayo na Eddo Kumwembe ni wakupuuzwa tu...

Ni gazeti gani la michezo limetoa hiyo story ya Msuva?? Jana nilikua na waandishi wa mwanaspoti,wakaongea na Msuva mwenyewe aligoma, ingia kwenye website za benfica na panathinaikos kama kuna mtu anaitwa Msuva kasajiriwa na hizo team

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha chuki zako
Dkt Jonas Tiboloha amekiri hilo kasema Simon Hapigod Msuva kasajiliwa na Benfica na atakwenda Greece kwenye klabu ya panathinaikos mpaka mwezi July kwa ajili ya uzoefu.
.
Lakini kacheza jana dhidi ya Casablanca hii haimaanishi hajasajiliwa taarifa rasmi ya usajili wake Benfica hawataitoa leo wala kesho kama unategemea hilo hafi mwezi July
 
Back
Top Bottom