joseph1989 Mzee wenu unamsikia halafu unasema hamuamini imani za kishirikina. Nilikwambia nenda na kimbelembele chako uone kama huyo Mzee hajapewa kazi ya kukushughulikiaHawa Mzee Mpili tu anawatosha, Mzee Mpili ana watu tena anasema ana watu wachafu kwelikweli.
Nani mwenye uwezo wa kumsajili Aziz Ki hapo?
Wachawi utawajuwa tu kwa tabia za hawapendi wanapoona mafanikio, wanataka bakuli ili wapate nafasi ya kuiba pesa na kukaa magetini siku hizi hamna ni N card tu.
Yanga haikutuma mwakikishi ndio maana hukumu inasomeka kama ya upande mmoja. Yaani yanga wawakuhusishwa ila kuna mtu alijifanya kuiwakilisha Yanga lakini hakutumwa na taasisi.Tatizo lenu kubwa ni kwamba hamna mwanasheria, ndiyo maana kila siku mnashindwa kesi.
Haiwezekani taasisi kubwa kuwa na kesi inaendelea Kisutu hadi inaisha mnakuja kulalamika eti hamkushirikishwa.
Hauwezi kusema utaenda kufungua kesi nyingine ya jinai dhidi ya waliokushitaki wewe kwa kisingizio cha walifoji saini, kwanza hao wazee walihitaji saini za wajumbe wa bodi za nini? Inaonyesha Yanga ilituma watu waiwakilishe mahakamani, hao ndiyo walifoji saini za wajumbe, leo wanawakana kuwa hawakuwa watu sahihi. Kosa linakuwaje la anayeshitaki?
Yanga hamna mwanasheria.
Hizi takataka anakabidhiwa Mzee Mpili amalizane nazo.Unanichukulia poa sana eti? Ngoja nichukue timu.
View attachment 3044747
Mzee Juma Magoma ameng'ang'ania kukaa Wasafi FM anashindwa kutoka nje. Maana hapo nje kuna nyomi inamsubiri ili wafanye maongezi naye kidogo🤣🤣🤣Sasa tunaomba mupishe ofisi kwanza halafu hayo mengine yafuate
Mnajichanganya. Unasema kuna mtu alijifanya kuiwakilisha Yanga, hapohapo unasema hukumu inasomeka ya upande mmoja. Na wewe unaamini Yanga iwe na kesi Kisutu, mtu atoke zake huko aje kuiwakilisha, hadi kesi inaisha ndiyo Yanga washtuke? Mnafikiria kweli nyie?Yanga haikutuma mwakikishi ndio maana hukumu inasomeka kama ya upande mmoja. Yaani yanga wawakuhusishwa ila kuna mtu alijifanya kuiwakilisha Yanga lakini hakutumwa na taasisi.
Hili swala nimejikuta nimelichukulia kikomediani sana. Angalau limewachangamsha Watani utadhani wamechukua ubingwa kumbe ndiyo zile furaha zao za pre-season😅Hizi takataka anakabidhiwa Mzee Mpili amalizane nazo.
Vip bado upo ulaya ya JF au usharudi......... karudie Komenti yako ya mwisho uliyo andika kwenye mjadala wa Yanga kwenda South. Mimi siamini kwa hivyo vitu vina msaada kwenye mpira sijajua ww wa ulaya ya JF.joseph1989 Mzee wenu unamsikia halafu unasema hamuamini imani za kishirikina. Nilikwambia nenda na kimbelembele chako uone kama huyo Mzee hajapewa kazi ya kukushughulikia
Juzi hapo injinia katangaza mapato ya mwaka mzima kuwa wamepata hasara.L
Tangu lini GSM akaongea na media au Instagram?
Mwamedi ndio anajurikana kwa kutangaza kapata hasara na timu haiachi.
Kwa hiyo mlipowakabidhi timu wazee kwenye ile mechi sijui ilikuwa derby ile mlikuwa mna lengo gani? Leo mnawarushia kila aina ya tusi na dharau kisa watu wawili watatu mnaotofautiana nao wamehoji taratibu za kisheria. Nasemaga vyura huwa mna kumbukumbu ndogo sana.Vip bado upo ulaya ya JF au usharudi......... karudie Komenti yako ya mwisho uliyo andika kwenye mjadala wa Yanga kwenda South. Mimi siamini kwa hivyo vitu vina msaada kwenye mpira sijajua ww wa ulaya ya JF.
Halafu mimi siamini ktk siasa za wazee wala Makomando wa hizi timu.Hata mzee mwenyewe mpuuzi mpuuzi, ukiuliza atakwambia timu inahitaji busara,utazani labda busara inalipata posho au mishahara.
Wakae pembeni wawache wenye uweledi.
Halafu hili sekeseke la Yanga lisikufanye ukasahau migogoro na timu yako Kolo FC, maana naona mnajiliwaza kwa hawa wahuni wanaotafuta kula kupitia Yanga. Ila Yanga ipo stable.
Wachezaji woote wa Yanga tunaenda MadrasaHao wazee wanaweza lipi na elimu zao za madrasa?
Eng. Hersi shika timu tuchukue ubingwa wa Kombe la mabingwa barani Africa!
Unahisi yupo Juma kama Juma?! Jaribu kufikiri kwa makini, ana WATU nyumaMzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
Walikabidhiwa na hao mashabiki wanao amini kwenye wazee, mimi siamini kwenye wazee. Kwanza ulimsikiliza huyo mzee leo interview yake Wsafi FM ? Hoja zake umezisikia......?au ndio unajipa Moyo Hersi anaondoka..... Hersi Yupo na ta endelea kuwepo na mdaa huu tunajiuliza bango tuliweke barabara gani msimu ujao.Kwa hiyo mlipowakabidhi timu wazee kwenye ile mechi sijui ilikuwa derby ile mlikuwa mna lengo gani? Leo mnawarushia kila aina ya tusi na dharau kisa watu wawili watatu mnaotofautiana nao wamehoji taratibu za kisheria. Nasemaga vyura huwa mna kumbukumbu ndogo sana.
Usinione napost kuhusu hili wala sina muda wa kufuatilia hayo mauzauza yenuWalikabidhiwa na hao mashabiki wanao amini kwenye wazee, mimi siamini kwenye wazee. Kwanza ulimsikiliza huyo mzee leo interview yake WhatsApp? Hoja zake umezisikia......?au ndio unajipa Moyo Hersi anaondoka..... Hersi Yupo na ta endelea kuwepo na mdaa huu tunajiuliza bango tuliweke barabara gani.
Hukumu ya mwaka jana ,nakala imepostiwa jana
Lengo lilikuwa kuwapiga mbumbumbu kono la nyani.Kwa hiyo mlipowakabidhi timu wazee kwenye ile mechi sijui ilikuwa derby ile mlikuwa mna lengo gani? Leo mnawarushia kila aina ya tusi na dharau kisa watu wawili watatu mnaotofautiana nao wamehoji taratibu za kisheria. Nasemaga vyura huwa mna kumbukumbu ndogo sana.
Hungekuwa huna muda husinge post humu JF, ungedeal na kambi yenu huko Misri na pacha strikers wenu Fred na Jobe.Usinione napost kuhusu hili wala sina muda wa kufuatilia hayo mauzauza yenu
Yanga ni taasisi kubwa inajulikana kila Sehemu hapa nchini inamana kesi ilikuwa inaendelea taasisi haijui kama kuna kesi mahakamani au mnataka watu wote tuonekane mazuzuYanga haikutuma mwakikishi ndio maana hukumu inasomeka kama ya upande mmoja. Yaani yanga wawakuhusishwa ila kuna mtu alijifanya kuiwakilisha Yanga lakini hakutumwa na taasisi.
Kumbe ilikuwa ni "ex parte judgement"? Acha Makolo yaanze kukenua meno hovyo na kushangilia. Ngoja sasa shauri lirudi tena mahakamani liwekewe "court injunction" kisha mabishano ya kisheria yaendelee.Yanga inafanya mkutano na waandishi wa Habari muda huu, fuatilia hapa kitakachojiri
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amekiri uwepo wa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la wadhamini wa Yanga SC ambapo ilisikilizwa upande mmoja na kupelekea kutolewa hukumu ya Julai August 2, 2023.
Aidha, mwezi wa 6 mwaka huu, Yanga SC ilipata taarifa ya ombi la Mahakama kutaka uongozi wote utoke madarakani, ambapo Eng. Hersi aliekekeza idara ya sheria kufuatilia suala hili na kugundua kuwa kesi hii iliendeshwa upande mmoja, pia waligundua kughushiwa kwa saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini. Pia, waligundua uwepo wa kundi la watu nyuma ya wazee hao linalotumika kuvuruga amani ya Yanga hivyo kwa kutumia vyombo vya dola wanashughulikia suala hili.
Kwa hatua ya sasa, Yanga imepekela maombi ya kuomba kuongezewa muda wa mapitio ya hukumu na kesi hiyo sababu hawakushirikishwa tangu awali, kwakuwa watu walioshiriki awali hawakuwa na uhalali kisheria (hawakuwa watu sahihi pia walifoji saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini)
Pia, itapeleka ombi la kuzuia utekelezaji wa hukumu hiyo ili uongozi usiondolewe pamoja na kuzuia wazee wasikabidhiwe timu kwa sasa.
Wakili Simon amesema Yanga itafungua kesi ya Jinai kwa wahusika wote waliopeleka kesi hii mahakamani kwani walighushi saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini wa Yanga.
Pia soma:
1. Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba
2. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!