Simon Patrick: Yanga itaenda mahakamani kuweka zuio la kukabidhi timu kwa wazee walioishtaki

Hungekuwa huna muda husinge post humu JF, ungedeal na kambi yenu huko Misri na pacha strikers wenu Fred na Jobe.
Usikariri maisha, Jobe kashasepa. Kashapewa stahiki zake na hautamsikia kaenda FIFA kama wachezaji wenu.

Mnatengeneza comedy za kufunua utupu wenu wenyewe halafu mnashangaa watu wakiwaongelea.
 
Wachawi hao!
Ingetakiwa wawe washauri wazuri lakini wanaleta mavimavi
Hao njaa tu zinawasumbua wanajaribu kujitengenezea mfumo nao waonwe. Wazee sampuli hii wapo kwenye hivi vilabu vyote vya Kariakoo. Nakumbuka enzi za Manji waliibuka akina Akilimali nayule mwenzake Mzimba walileta shida sana hadi Manji akawakatia fungu ndiyo wakatulia, sasa huyu naye anakuja kwa staili hiyo hiyo.
 
Usikariri maisha, Jobe kashasepa. Kashapewa stahiki zake na hautamsikia kaenda FIFA kama wachezaji wenu.

Mnatengeneza comedy za kufunua utupu wenu wenyewe halafu mnashangaa watu wakiwaongelea.
Yule mzungu si anawadai FIFA au hakiwa mchezaji wenu aka mlete mzungu? Tatizo lako unasahau sana yako ila unayafuatilia ya Yanga.
 
Kesi iliyofunguliwa inahusiana na katiba na hao waliofungua kesi wametumia katiba ya 2010 huku katiba mpya ya Yanga ya mwaka 2021 ikionekana haitambuliki RITA, kwenye ufafanuzi wa Patrick amesema kuwa katiba ya klabu ya mpira inasajiliwa baraza la michezo (BMT) na sio RITA. hapa ndipo kwenye point ya msingi ya kuanzia. Sasa wewe SAYVILE embu toa ufafanuzi kuhusu hilo je katiba ya klabu ya mpira inasajiliwa RITA au BMT?
 
Hali Ya Hewa Imechafuka Kama Nchini Iraq Mji Wa Faruja
 
Kwani habari za Yanga unazo zipataga ww zinakuwaga za lini? Huu uzi hata humu JF upo.

Au ukijua za lini ndio utajua ya ukweli au uongo?
View attachment 3044826
Kama ulijua ni habari ya nyuma usingesema "anawadai", ungesema "alikuwa anawadai". Makosa madogo kama hayo yanakufanya unaonekana unatapatapa na kulazimisha hoja iwe nzito.

Nyie kila miezi kadhaa mnafungiwa kusajili mpaka mmalizane na watu, ukaone ukafukunyue habari ya mwaka juzi halafu bila aibu unasema "anawadai"
 
Makosa madogo yapi ? Wewe unadaiwa na Dejan.
 
Daima mbele Nyuma mwiko.

Bado mwiko umengangania tu.
 
Hakika nadhani Yanga Kuna sehemu tulizubaa.
Hadi hao wahuni wakashinda kesi
 
Hata kama tunafungiwa ubingwa tunachukua mbele yako unayeogopa madeni.
Kwenye biashara madeni ni laZima.
Yaani tukae na garasa kama Kambole eti tusivunje mkataba, tukose ubingwa ,

Tunavunja mkataba tutalipa baadae
 
Hata kama tunafungiwa ubingwa tunachukua mbele yako unayeogopa madeni.
Kwenye biashara madeni ni laZima.
Yaani tukae na garasa kama Kambole eti tusivunje mkataba, tukose ubingwa ,

Tunavunja mkataba tutalipa baadae
Hakuna anayesema msiwe na madeni. Nyie mnakuwaga na madeni sugu ndiyo maana mnafungiwaga. Siyo jambo la kujisifu hilo Sheikh.
 
Mzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
You’re talking shit you can’t back it up.
 
Makosa madogo yapi ? Wewe unadaiwa na Dejan.
Mbona unalazimisha mambo ambayo hayapo? Ona aibu kidogo basi. Au unataka tukae hapa siku nzima tunabishana kama watu wasio na utimamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…