Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
nyumba gani? siyo kwamba tuzibe expansion joints?Huyu jamaa alipatia sana katika kutuunganisha lakini msingi wa nchi alijenga mbovu hawa waliofuata hata wajitahidi nyumba bado itakuwa na matatizo,lakini sio mbaya kwa kuwa kila safari huanza kwa hatua moja.Ila kuna siku inabidi tuibomoe hii nyumba na tujenge upya.