Simon Rwamugila(Omutwale): Nyerere alipewa u-Head Prefect akatuchanganya akili Tabora Boys

nyumba gani? siyo kwamba tuzibe expansion joints?
 
nasema kwa upande wa bara akina lipumba wanatuangusha
 
Kwa hiyo Julius K. Nyerere naye alikuwa na figusu ... kwani alipitisha huyo mdada na huyo jamaa mhindi ki-magumashi?
 
Mwalimu J K Nyerere alileta umoja wa kitaifa, ambapo hakumalizia ilitakiwa maraisi wengine wamalizie.

Ila kuna mabwanyenye wanajifanya kumkosoa kwa mlengo wa kumdharirisha,

bado tuna imani na falsafa zake nzuri, yale machache aliyokosea tunayarekebisha kwa kumpa heshima.

Mlitaka ubepari kwa mgongo wa demokrasia, mwalimu Nyerere akawaachia lakini ubepari nao umewashinda sasa hamjui mnaelekea wapi(hapa naongea na wasaliti wa Nchi hii).
 
Mzee Kagasheki hatoki Kiziba, ni wa Maruku.
 
Watu kama nyinyi mnatakiwa sana hap JF kutupatia historia ya viongozi wa nchi hii ili tuendelee kuwatambua wameanzia wapi ktk mapambano ya kifikra ktk kumtumikia mama Tanzania ...ahsante sana mkuu.
 
Watu kama nyinyi mnatakiwa sana hap JF kutupatia historia ya viongozi wa nchi hii ili tuendelee kuwatambua wameanzia wapi ktk mapambano ya kifikra ktk kumtumikia mama Tanzania ...ahsante sana mkuu.
ndiyo madini haya yanahitajika hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…