Simon Rwamugila(Omutwale): Nyerere alipewa u-Head Prefect akatuchanganya akili Tabora Boys

kweli nadhani atakaye angalia mabaya tu ya Nyerere bila kuangalia mazuri hamtendei haki kabisa maana Nyerere alikuwa na haki kama wanadamu wengine tusimuweke katika level za malaika, lakin watu wanaangalia mapungufu yake tu bila kuangalia upande wa pili
 
Kumbe Nyerere michezo ya kubadili matokeo ya uchaguzi hajaanza Zanzibar.

"Msimamo wa Nyerere. Msimamo wa Nyerere. Ni kipaji cha mwenyezi Mungu baaba, kapewa tangia tumboni, kabla hajazaliwa"
Hahaah we jamaa bana
 
Huyo nae anataka jimbo la sugu 2020...so Nyerere principal can be applied
kule mbeya Tulia atapotea sana maana kwa wanambeya nao wameanza kuvuta bange kama arusha hawajui nani mwakilishi bora na ni nani mwakilishi fake
 
Dah poleni mwanangu ila hata pale bara, rough ni hizo hizo tu mkuu. Reference ni uchaguzi wa juzi. Matokeo kashinda cdm kiti anapewa ccm
 
Waliofuata ni wapiga dili tu mkuu. Tena bora hata mwinyi
 
Mkuu kwahiyo Idris alitangazwa mshindi? Unaandika kwa uchungu sana mkuu, ila poa IPO siku
 
Kumbe zamani Tabora boys walisoma wasichana pia, nashukuru kutolewa matongotongo ktk hili.
 
Tungeshukuru ungetuchotea mengi zaidi. Kaswali kadogo, wakati wa mwalimu Tabora Boys ilikua na wasichana?
Soma vizuri uzi ilikuwa haiitwi tabora boys, ni tabora school of government, bila shaka ilikiwa mchanganyiko, kabla ya kujengwa na tabora girls
 
Hao hao tume wanasema baadae kama sasa mnavyotuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…