Simon Rwamugila(Omutwale): Nyerere alipewa u-Head Prefect akatuchanganya akili Tabora Boys

Napata picha kwanini idrisa aliachia kabla ya muda wake, jamaa alikuwa ni mtu wa dini sana
 
Mkuu huu uandishi wako umenikumbusha member mmoja kichwa sana, siku hizi hayuko... anaitwa kiranga

Unafahamiana nae mkuu??
 
Soma vizuri uzi ilikuwa haiitwi tabora boys, ni tabora school of government, bila shaka ilikiwa mchanganyiko, kabla ya kujengwa na tabora girls
Kusoma siyo tatizo. Naomba jina moja la msichanaaliyesoma na Mwalimu.
 
Kama huyo baba yako ndo alikuhadithia hapo basi alikuwa upuuzi kuliko upuuzi wenyewe,nahisi umeyatunga ili upokee mgao wako wa huku Saba.
 
Hata Muleba walikuwepo,mzee Kalymbabi,Masilingi,Bakamenja,mzee Zimbihile,Mathias Mushuti,Simon alias Omworoba,Simon Rwegazi, Elias Chipaka,etc
 
Nimependa hiyo kuwa kiongozi wa mfano alipokuwa shule na sijapenda hapo alipobadilisha matokeo.
Haifai kuwaibia watu kura zao,hii sitakaa niikubali daima
 
Mkuu huu uandishi wako umenikumbusha member mmoja kichwa sana, siku hizi hayuko... anaitwa kiranga

Unafahamiana nae mkuu??
Ta te ti to..t

Cheza na wakubwa kwa formula za kikubwa....
 
Huyu mzee ni babu mzaa baba wa Santus Magaiga(Dogo fulani hivi rafiki yangu Facebook)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…