Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Kwanza mtu mpaka anakuvua nguo anakuinamisha ,anasimamisha dyudyu anaanza kutafuta engo Hadi inaingia mpaka anakojoa Tena ndani ya gari sio tukio rahisi labda kama alishikiwa bunduki ,huyu Binti anatakiwa atiwe kizuizini ni mhaini na mhalibifu wa maisha ya watu ! Kama ni mwanafunzi alifuata nini club ,si alikuwa anadanga?
 
Hatari na nusu.
 
Shambulio la Lisu si ulishasemaga ni dereva wake? Huo ndio uchunguzi wa kiuandishi unaousema? Au ilikuwa ni chuki binafsi na Lisu ambaye unasema uliwahi kusoma KTM shule moja ingawa madarasa tofauti?
 
Wewe na akili zako huwa unazoa zoa wanawake barabarani usiku
 
Mkuu Paskali mimi nimekuelewa vizuri sana.Hata mimi nina mashaka makubwa. na huyu binti.Na kama inavyosemekana hivyo kama ana 'Background' ya maswala yanayofananafanana na hili tukio, basi tuombe Mwenyezi Mungu ambaye uwepo wake hauna shaka alidhihirishe hil jambo.Na kama hivyo ndivyo,basi Dr.Yahaya awe na subra na utulivu wa hali ya juu kwani hata kama haki yake itacheleweshwa,lakini Mungu anayaona yote yanayoendelea..Hata Nabii Yusufu alifungwa kwa dhuluma ya kusingiziwa ubakaji lakini akaibukia kwenye utukufu.
 
Ile issue hakuna kubakwa pale alikuwa anatafutwa mtu aliwe kichwa tu. Wanasema kamera ilionyesha binti akiingia kwenye gari saa 2.57 na ikaonyesha ametoka saa 3.15, kwamtu mwenye akili timamu. Aliingia garini akiwa uchi? Huyo DR Yahaya alikuwa kakaa mkao wa kula? huyo mbakwaji aliingia akijua anaenda kubakwa tena nyuma, hivyo akajiandaa kabisa?, akabakwa HARAKAHARAKA akatoka?

Kubaka ni kitendo cha kutumia nguvu, na mpaka kumvua huyo mtoto nguo na kukaa sawa humo garini, yani in 15 minutes yoote hayo yaliwezekana?

Hili swala halina ukweli wowote kaonewa huyo mtuhumiwa, ila kwakuwa vyeo ni vya kupewa na aliyekupa kesha chukua ndiyo hivyo tena.
 
7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
Sasa huoni huyo Mkuu wa Mkoa Ni boya.. unashindwaje ng'amua mtego.

Alafu Kama Yale masalia ya uchafu...yaliyoenda DNA yame'match' unataka kutetea Nini!?

Mbona mnatumia nguvu nyingi Sana kutetea Dhambi.
 
Na ujuzi wangu wa ngono wa miaka dahari nawaza msichana anawezaje kubakwa na mtu mmoja kinyume Cha maumbile kwa dk 30 ndani ya gari kisha akatoka kimya kimya🤔.
 
Kabinti ni kashenzi sana,ila Nawanda nae alizingua mtu ushakua na wadhfa wa RC bado unatoka na vibinti mcharuka vya nini wakati mishangazi ipo.
Hasuaaaaa! Hata kama katengenezewa zengwe lakini amejitumbukiza mwenyewe! Kwa nafasi ya RC bado unakimbizana na vibinti vyenye boyfriend's zaidi ya 20 kwanini? Kuna pisi kali kibao jijini mwanza zinazojitambua zenye umri wa kujitambua sasa 46 yrs unakimbizana na kitoto cha first year? Au kwakuwa ni mwalimu wa chuo kikuu ni mchezo aliyezoea kwa vitoto vya chuo? Na je RC ni muumini wa kula USHUZI? Halafu jamaa ni 5 antelopes! ngoja avune alichokula
 
"Great power comes with great responsibilities"

Ule uhusiano wa kingono kati ya Mkuu wa mkoa na "hako ka-binti" ni disqualification ya kutosha kwa huyo mkuu wa mkoa.
 
Nabii Yusuf hakuonja, Ila RC ameonja....Yani amekula akalamba na Sahani🤣🤣
 
Ukute akiwa nyumbani mkalii, kutwa kumwambia mkewe ajifunike funike na Aya za dini anazitoa......kumbe mnafiki🤣🤣🤣
Sipati picha wahuni watavyobembea na mama yoyooo wake.....hamna kauli ataitoa ndani ya nyumba itasikilizwa.....Yani ni "you can't tell me nothing"....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…