Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Nilimaliza kidato Cha nne mwaka 1998 nikiwa na miaka 16.
Na issue hiyo ya mwanzo huyu binti Tusime alikuwa kidato Cha pili akiwa na 16yrs, na akatoroshwa na mwanaume Ili aolewe, na mahakamani hakusema kabakwa bali alisema walikuwa wanafanya mapenzi..yule bwana alihukumiwa sababu alijamihiana na binti underage ambae ni mwanafunzi.. Alihukumiwa miaka 30 lkn alipokata rufaa alipunguziwa kifungo kikawa miaka saba
 
Mkuu Paskal tatizo la Mh. RC naliona ni la kimaadili zaidi kuliko la kisheria. Ni vizuri limepelekwa makahamani huko wacha ukafanyike uuigizaji.
Pia nikurejeshe "two wrongs don't make a right"
 
Broo P, huwa ni sahihi kutaja majina ya mu athirika, pindi inapotaarifiwa habari inayohusu issue ya namna hiyo?

Pamoja na yooote……mi nawaza kuwa yule X RC, hakutimiza makubaliano. Issue yake inafanana na ile ya Mike Tyson, iliyopelekea kufungwa kwa kubaka!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hii iko wazi kuwa wametegana wenyewe kwa wenyewe huko CCM ili kumalizana...

Huyu amekorifisha sehemu, wahuni na wafiraji wenzake huko CCM na serikalini wameamua kumuacha afe kivyake..!

Ingekuwa siyo hivi tunavyofikiri, mbona hili nalo lingefukiwa chini ya carpet na mzigo kutupiwa CHADEMA kuwa ndiyo wamemtuma huyo binti kuichafua serikali "nzuri ya CCM???"

CCM na viongozi wengi wa serikali ni aidha wasagaji, wabakaji, wafiraji, wafwiraji na wapenda kulawiti. Ila huyu nadhani amekosea sehemu na hayawani wenzake wameamua afe kivyake...!
 
Inasikitisha sana,mimi na ualimu wangu wa shule ya msingi siwezi kuandika haya yaliyoandikwa na pascal,shida iko wapi,acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake,nakama huyo mtoto ameudanganya umma sheria zipo zitamuadhibu.

Nibora kukaa kimya kuliko kuandika mambo ya namna hii,Pascal Mayalla wewe ni mwandishi wa habari mkongwe,na haitoshi wewe ni mwanasheria ,unakwama wapi mkuu?

Jifunze kuwa na akiba ya maneno,je vyombo vya sheria vikithibitisha kuwa huyo unayemtetea alimwingilia kinyume na maumbile huyo mtoto utasema nini?


unandika eti binti alisababisha boda boda akafungwa miaka 30,kweli kabisa hujui kuwa mtoto akiwa na 16yrs alitoroka shule na katika kufatilia ikabainika kuwa alikuwa akiishi na boda boda? Ulitaka mahakama ifanye nini?
 
Mkuu nilipo soma hiyo kesi ya huyo mwanamke sina imani kama jamaa kweli ametenda, huo utakuwa mtego.
 
We jamaa una akili sana...ubarikiwa yaani POLICE wetu ni hovyo sana nilishia chupu chupu kula mvua ya 30yrs kisa kabinti kalinisingizia nimekala duuh hatari sana ....usiombe yakukute
Pole Sana mwanakwetu. Hii sheria inawaumiza Sana wanaume kwani hata ukisingiziwa na wajanja mashahidi wa mchongo una hatari ya kuangukiwa na mvua thelathini.
 
Semeji mtavyosema ila na huyo mkuu wa mkoa heshima hana na hastahili hiyo nafasi usiku unaenda disco kujianika na katoto cha 21 years tena unafamilia..stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…