Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
izisimu mbona zinauzwa bei rahisi sana ?Chukua aqous utakuja kunishukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
izisimu mbona zinauzwa bei rahisi sana ?Chukua aqous utakuja kunishukuru
below 5 ni uongoHii chaji ni kipengele..?[emoji28][emoji28][emoji28]
Pixel 6 mkuu. Ipo vizuri sanaWatu wamekua wakweli maana sijaona sehemu imetajwa google pixel.!
Tafuta Samsung M series hizo unakuta mpaka yenye MAh 7000Wadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Kabisa mkuu, a12 ni simu moja matata sana, camera kali, chaji ndio usiseme.Hii ni hatarii aiseee.. simu ninayo mwaka wa 3 uanenda ila chaji kama mpyaa.
Hivi O king ni smartphone?Tafuta oking
Mzigo ule unavyowaka lazima maskio yatoboke
Afu pia inauwezo wakuchaji simu zenzake6
Afu inauwezo wa kujaza power bank 4
https://jamii.app/JFUserGuide iphones under X modelIphones zote 😂
Kiingereza huwa hakina adabu. Penye wengi ndiyo kinakubwaga.Una confidence ya hali ya juu
yani hilo neno umeliandika kwa herufi kubwa.
Samsung Galaxy A40Wadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Nunua oppo hutojutia inakaa Na chaji 24hrsWadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Tafuta simu inatwa Samsung Galaxy M73 5G!! Nakuapia hutojuta. Mpaka masaa 16Wadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Hao wanazungumzia mapenzi na sio uhalisia,nimezitumia sana ni moja kati simu zinazodumu na chaji pengine kuliko simu nyingine yoyoteWengine nao wanasema iphone siyo!
Tena hata ule muda wa warrant haujaisha lolDepends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku