Simu gani betri inakaa zaidi ya saa 12 unapoitumia mfululizo?

Depends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku
Hiyo Infinix itakuwa ilikuwa feki au ni low-end smartphone kama Smart series. Nimeshatumia mid-range smartphones za Infinix kama Note 4, Note 5, S5, na sasa Note 30. Sijawahi kutana na changamoto ya simu ku stuck. Huwa ninatumia hadi ninazichoka, ninazigawa na bado zinakuwa na uwezo wake.

Hizi simu huwa ninanunulia kwenye shop yao Mlimani City. Unapata na warranty ya mwaka 1. Otherwise utakuwa unacheza heavy games ambazo zinahitaji processor yenye nguvu zaidi kwenye low-end series.

Pia jitahidi ku update software. Wengine huwa wakiletewa notification ya ku update software wanapuuza. Kumbe hizo updates ndizo hutatua hizo changamoto ndogo ndogo. Mtu akiona size ya update ni 600mb, ana ignore, kumbe matatizo anayatengeneza mwenyewe.
 
Siemens A35
Aisee hii simu nilikua naipenda sana...niliimiliki 2002 nilikua naiita kidole gumba..bonge ya simu

Thanks for good memory...

MP
Screenshot_20240101-080243_Chrome.jpg
 
Hiyo Infinix itakuwa ilikuwa feki au ni low-end smartphone kama Smart series. Nimeshatumia mid-range smartphones za Infinix kama Note 4, Note 5, S5, na sasa Note 30. Sijawahi kutana na changamoto ya simu ku stuck. Huwa ninatumia hadi ninazichoka, ninazigawa na bado zinakuwa na uwezo wake.

Hizi simu huwa ninanunulia kwenye shop yao Mlimani City. Unapata na warranty ya mwaka 1. Otherwise utakuwa unacheza heavy games ambazo zinahitaji processor yenye nguvu zaidi kwenye low-end series.

Pia jitahidi ku update software. Wengine huwa wakiletewa notification ya ku update software wanapuuza. Kumbe hizo updates ndizo hutatua hizo changamoto ndogo ndogo. Mtu akiona size ya update ni 600mb, ana ignore, kumbe matatizo anayatengeneza mwenyewe.
Mateso wanayopitia watumiaji wa hizo simu ni makubwa,tafuta hela nunua simu
 
Mimi ni mtumiaji kwa zaidi ya miaka 5 na sijakutana na hayo mateso. Ninaongea kwa experience. Simu nilizotumia nimezitaja hapo.

Kutumia Infinix haimaanishi sina pesa. Nina gari la 18mil na nyumba ya zaidi ya 80mil. Simu ya 2mil ni kitu kidogo sana kwangu. Simu si kipaumbele, bali uwekezaji.

Ninachozingatia ni uwezo wa simu unaokidhi mahitaji yangu. Storage 256GB, RAM at least 4GB+, battery 5000+ MAH. Camera at least 64MP. Processor pia iwe nzuri. Hizo changamoto hutokutana nazo trust me. Ukitumia Note series au Zero series hutokutana na hizo changamoto. Hizo ni mid-range na high end phones za Infinix.
 
Back
Top Bottom