Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Oppo A8 na samsung A14 naona zipo vizuri maana nakaa nazo zaidi ya 24hrs na huwa sizimi data kabisa na kutumia nazitumia online vyakutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Infinix itakuwa ilikuwa feki au ni low-end smartphone kama Smart series. Nimeshatumia mid-range smartphones za Infinix kama Note 4, Note 5, S5, na sasa Note 30. Sijawahi kutana na changamoto ya simu ku stuck. Huwa ninatumia hadi ninazichoka, ninazigawa na bado zinakuwa na uwezo wake.Depends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku
Aisee hii simu nilikua naipenda sana...niliimiliki 2002 nilikua naiita kidole gumba..bonge ya simuSiemens A35
Mateso wanayopitia watumiaji wa hizo simu ni makubwa,tafuta hela nunua simuHiyo Infinix itakuwa ilikuwa feki au ni low-end smartphone kama Smart series. Nimeshatumia mid-range smartphones za Infinix kama Note 4, Note 5, S5, na sasa Note 30. Sijawahi kutana na changamoto ya simu ku stuck. Huwa ninatumia hadi ninazichoka, ninazigawa na bado zinakuwa na uwezo wake.
Hizi simu huwa ninanunulia kwenye shop yao Mlimani City. Unapata na warranty ya mwaka 1. Otherwise utakuwa unacheza heavy games ambazo zinahitaji processor yenye nguvu zaidi kwenye low-end series.
Pia jitahidi ku update software. Wengine huwa wakiletewa notification ya ku update software wanapuuza. Kumbe hizo updates ndizo hutatua hizo changamoto ndogo ndogo. Mtu akiona size ya update ni 600mb, ana ignore, kumbe matatizo anayatengeneza mwenyewe.
Mimi ni mtumiaji kwa zaidi ya miaka 5 na sijakutana na hayo mateso. Ninaongea kwa experience. Simu nilizotumia nimezitaja hapo.Mateso wanayopitia watumiaji wa hizo simu ni makubwa,tafuta hela nunua simu
Hiyo ni jenereta mkuu!!??Tafuta oking
Mzigo ule unavyowaka lazima maskio yatoboke
Afu pia inauwezo wakuchaji simu zenzake6
Afu inauwezo wa kujaza power bank 4
mimi huwa namshangaa mtu ambae anamiliki infinixDepends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku
Kabisaa, japo ni simu Kali sana nahisi Kwa vile ni used.!Hii chaji ni kipengele..?[emoji28][emoji28][emoji28]
Iliyotoka dukan ila sio hizi used aisee.!Pixel 6 mkuu. Ipo vizuri sana
Teh.! Teh.! Dah haya.Tafuta oking
Mzigo ule unavyowaka lazima maskio yatoboke
Afu pia inauwezo wakuchaji simu zenzake6
Afu inauwezo wa kujaza power bank 4
Watafute simu watumie na sio infinixmimi huwa namshangaa mtu ambae anamiliki infinix
dude kama hili nitalipata wapi mkuuView attachment 2859620
Mzigo huo, sio kukaa chaji masaa 12 tu inakuchajia mpaka na simu yako nyingine.
Kuna duka moja niliona Kariakoo maeneo ya Mtaa Aggrey ila ni kitambo kidogo.dude kama hili nitalipata wapi mkuu
unayo hapo?aquos 5G
utanishukuru
processor p35😂😂😂🚮Kabisa mkuu, a12 ni simu moja matata sana, camera kali, chaji ndio usiseme.
Chukua pixel hutajutiaWadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.