mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google Pixel inayotunza chaji ni 5A. Google Pixel nyingi hazitunzi sana chaji, ni average tu.Depends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku
Una budget kiasi ganiWadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Kwa samsung A series nadhami kinara wa battery life ni samsung A42 5g , ni simu pekee ya samsung A series yenye gsm arena endurace rating ya 144 hours .Samsung Gakaxy a12 hutajuta
Naomba nisaidie na mm kwa Bajeti ya 800k-1m napata simu gani? ReubenUna budget kiasi gani
Simu zinazotunza chaji ziko nyingi sana ila ni vyema utaje bei tuangalie ipi inafaa
Ukiwa unaangalia ukubwa wa betri peke yake unaweza usifanikiwe lengo .KAMA UNAPESA CHUKUA MZIGO HUU HAPA. View attachment 2859886
We pimbi kweli🤣😂😂Tafuta oking
Mzigo ule unavyowaka lazima maskio yatoboke
Afu pia inauwezo wakuchaji simu zenzake6
Afu inauwezo wa kujaza power bank 4
Kama utaagiza China tafuta Redmi Note 12 Turbo/ Poco X5Naomba nisaidie na mm kwa Bajeti ya 800k-1m napata simu gani? Reuben
Umejibu kitaalam sana mkuu safiYeyeto tu yenye betri kuanzia 5000
Naweza kuitumia 12 hrs non- stop bila kwisha charge?Kama utaagiza China tafuta Redmi Note 12 Turbo/ Poco X5
Kama utanunua Tz tafuta Samsung Galaxy A34 5G yenye 8GB/256GB
What about kama naitumia non stop haitazima katikati ya siku?Samsung Galaxy A series. Hawa wameweza sana. Nina Galaxy A72 na A52 ukucharge leo mpaka kesho.
Oh asante sana, Vipi S series bado zinatatizo kwenye ukaaji wa chaji? Nimevutiwa na s21Kama utaagiza China tafuta Redmi Note 12 Turbo/ Poco X5
Kama utanunua Tz tafuta Samsung Galaxy A34 5G yenye 8GB/256GB
Samsung A03core ina kaa Zaid Ya hayo 12Wadau naombeni maarifa.
Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?
Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Kuna mda ukiwa hujakamia kitu, unasahau kuongea uongo.Watu wamekua wakweli maana sijaona sehemu imetajwa google pixel.!
A42 5G hii simu ni sheeedaa, nilitumia mpk nikauza alienunua hajutii, Nilichoka tuu kutumia simu ya laini moja..Kwa samsung A series nadhami kinara wa battery life ni samsung A42 5g , ni simu pekee ya samsung A series yenye gsm arena endurace rating ya 144 hours .
Nilibahatika kuipata ya laini mbili nimetumia hadi nimeichoka pia . saa hizi natumia honor 9xb nayo ni balaa kwa chaji, 5800mah @ 185 gram . moja ya changamoto kwa simu zenye betri kubwa ni overall weight ila hawa huawei wamewezaA42 5G hii simu ni sheeedaa, nilitumia mpk nikachoka, Nilichoka tuu kutumia simu ya laini moja..
BTW Aliyeko juu pale ni M51 na F62, wana 156hrs,
Mzigo ndani wameupiga 7000mAh.
Sikuhizi Gsm arena wameachana na rating za endurance rating, ni Active Use score in hours.