Simu gani betri inakaa zaidi ya saa 12 unapoitumia mfululizo?

Simu gani betri inakaa zaidi ya saa 12 unapoitumia mfululizo?

Depends na budget yako,
Tafuta iphone pro max yoyote,
Pixel from 5...........
Samsung ultra yoyote(21......
Sina hela nyingi lakiniNyingine hizo achana nazo hasa infinix sio simu kabisa,unachana box lakin inaanza kustack baada ya siku
Google Pixel inayotunza chaji ni 5A. Google Pixel nyingi hazitunzi sana chaji, ni average tu.
S21 Ultra na S22 Ultra (Exynos) utunzaji wake wa chaji ni wa kawaida sana, sio wa kumtosha kutumia masaa 12 mfululizo
Kama anataka simu inayotunza chaji atafute
iPhone 15 Pro Max
Samsung Galaxy S23 Ultra
iPhone 14 Pro Max
Xiaomi 13
Xiaomi 13 Pro
Xiaomi 13T Pro

Kama ni midrange atafute Samsung Galaxy A34 au Xiaomi Poco F5/ Xiaomi Redmi Note 12 Turbo

Zipo nyingi sana ila sio hizo ulizotaja
 
Wadau naombeni maarifa.

Kwamba ni simu ipi ya kiganjani inakaa na chaji (moto) zaidi ya masaa 12 unapoitumia mfululizo?

Nahitaji kununua simu yenye sifa hiyo.
Una budget kiasi gani
Simu zinazotunza chaji ziko nyingi sana ila ni vyema utaje bei tuangalie ipi inafaa
 
KAMA UNAPESA CHUKUA MZIGO HUU HAPA.
images%20(17).jpg
 
KAMA UNAPESA CHUKUA MZIGO HUU HAPA. View attachment 2859886
Ukiwa unaangalia ukubwa wa betri peke yake unaweza usifanikiwe lengo .
Betri kuwa kubwa ni kitu kimoja lakini simu kukaa na chaji ni kitu kingine kabisa . halafu kuna factors nyingine pia kwangu mie simu ikishazidi gram 190 naiona nzito , hii simu ina gramu 570 yani ni zaidi ya nusu kilo
 
Samsung Galaxy A series. Hawa wameweza sana. Nina Galaxy A72 na A52 ukucharge leo mpaka kesho.
 
Kwa samsung A series nadhami kinara wa battery life ni samsung A42 5g , ni simu pekee ya samsung A series yenye gsm arena endurace rating ya 144 hours .
A42 5G hii simu ni sheeedaa, nilitumia mpk nikauza alienunua hajutii, Nilichoka tuu kutumia simu ya laini moja..
BTW Aliyeko juu pale ni M51 na F62, wana 156hrs,
Mzigo ndani wameupiga 7000mAh.
Sikuhizi Gsm arena wameachana na rating za endurance rating, ni Active Use score in hours.
 
A42 5G hii simu ni sheeedaa, nilitumia mpk nikachoka, Nilichoka tuu kutumia simu ya laini moja..
BTW Aliyeko juu pale ni M51 na F62, wana 156hrs,
Mzigo ndani wameupiga 7000mAh.
Sikuhizi Gsm arena wameachana na rating za endurance rating, ni Active Use score in hours.
Nilibahatika kuipata ya laini mbili nimetumia hadi nimeichoka pia . saa hizi natumia honor 9xb nayo ni balaa kwa chaji, 5800mah @ 185 gram . moja ya changamoto kwa simu zenye betri kubwa ni overall weight ila hawa huawei wameweza
 
Back
Top Bottom