Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

PXL_20231029_183110068.NIGHT.jpg


PXL_20231029_183036089.NIGHT.jpg
PXL_20231028_165229126.NIGHT.jpg


💥Pixel 3a

Saa 2 usiku ikakutana na mbalamwezi 🔥🔥
 
Mtu anauliza laki 4 mnamtajia masimu ya gharama

Tafuta hizi utakuja nishukuru

Aquos R6 huyu ni mjapani Camera yake ni balaa bei ni kati ya 320-390

Aquos sense 5G bei ni 150-180

Redme 12&13 zinajitahidi bei ni 190-250

Tecno camon 18&19 hizi japo ni tecno angalau

Brand za oppo matoleo ya sasa na vivo

Samsung pia hizi A series
 
Back
Top Bottom