Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

Kwenye simu mtu yyte kama hamjui wanafocus vitu vitatu betry/ charge camera durable hapo mtu yyt unaweza kupata 1 au 2 ni aghlabu kupata yote kwa kampuni moja hasaa hz simu zetu za kuanzia lak 4 kushuka
Mimi kwenye simu vigezo vyangu vikuu huwa ni 3 tu.
1. Battery
2. Display quality
3. Storage capacity
 
Pixel zina depreciation kubwa sijawahi ona. Jan unanunua laki 8 inafika May unakuta same duka wanauza laki 6.5
Depreciation ni kwenye price sio quality,na hii inatokana na ushindani inabidi watoe matoleo mapya kila baada ya muda mfupi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…