Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

Iyo battery ni sawa 5000mAh, ukichukua na samsung yenye 5000mAh ndo utajua ipi ni simu
Samsung ukiona ina 5000mAh na inadumu sana na chaji jua inatumia cheap processors za Mediatek ambazo performance wise ni poor...kwaio lazima ujue unataka nini.... performance au chaji inayodumu option ni yako 😀
 
Ukweli ni kwamba Simu moja haiwezi kukupa kila kitu, chaji, camera na perfomamce,
Pia A 15 4G zina mediatek G99 ambayo ni nzuri kuliko sd680 na Sd720,

Snapdragon kuanzia 865 kwenda juu ni moto,
 
kumbe A15 chipset yake ni mediatek
 
Samsung ukiona ina 5000mAh na inadumu sana na chaji jua inatumia cheap processors za Mediatek ambazo performance wise ni poor...kwaio lazima ujue unataka nini.... performance au chaji inayodumu option ni yako 😀
vipi kuhusu A05s na ni snapdragon battert 5000mA
 
Kwasababu gani uchague pixel ?
Simu zote zinategemea Gcam ambayo ni founder wa Google pixel ,software yake haina mpinzani kwenye soko ,Pixel anasupply Technology kwa kampani nyingine.
Actually kila simu inakuja na camera app zao wenyewe. Xiaomi wanayo ya kwao, Samsung wana app yao, Oppo, vivo, Realme, iQOO, Tecno, Infinix etc wana app zao pia za kamera. Hazitumii Google camera
 
Hii sio kweli kabisa.... Ni simu ya hovyo kwenye nini?

Ninatumia Samsung kwa muda mrefu ila kwa pixel huu ni mwaka wa 2 navutiwa kununua matoleo ya juu zaidi.

Mnawadanganya sana watu humu mitandaoni.
Niambie kuhusu pixel 6a kioo kikoje maana naambiwa kinavunjika haraka na ni bei mbaya
 
Back
Top Bottom