tucheze mchezo,, kwenye laki nane io toa laki mbili ntumie mimi nakutumia namba pm,,afu wanunulie cm za laki tatu😌😌Used phones hapana
Ngoja niangalie hapa samsung a series ipi itabalance kwenye bajeti ya laki 4. Nataka kununua simu mbili total nina laki 8, sitaki izidi bei zaidi ya hapo
Ahaha sio kweli hii ni ahadi nilitoa mda mrefu deni linanitesa.tucheze mchezo,, kwenye laki nane io toa laki mbili ntumie mimi nakutumia namba pm,,afu wanunulie cm za laki tatu😌😌
sasa si utawadanganya naweweAhaha sio kweli hii ni ahadi nilitoa mda mrefu deni linanitesa.
Nataka nimalizane nalo ikiwezekana kesho nizinunue sitaki kuamka na deni
Ogopa matapeli, simu ni tecno tu.
Sawa tuAhaha siwezi wadangany
Nunua mpya Samsung A15 4G 4/128 bei yake 350,000 unapata. Faida zake:Used phones hapana
Ngoja niangalie hapa samsung a series ipi itabalance kwenye bajeti ya laki 4. Nataka kununua simu mbili total nina laki 8, sitaki izidi bei zaidi ya hapo
NB: Ukikosa wa kukuuzia kwa bei hizi nitafuteNunua mpya Samsung A15 4G 4/128 bei yake 350,000 unapata. Faida zake:
1. Battery kubwa ya 5000 mAh muhimu kwa watu wazima na wa vijijini.
2. Samsung ina software updates nyingi hivyo haiwezi lag na kuwa outdated mapema kama hizo Infinix na Tecno.
3. Samsung ina stable software, camera inayodumu quality na reliability ya parts kama mic, speaker, etc.
4. Kioo kikubwa, three camera lenses kwa ajili ya "washamba" wa kijijini ambao huamini lenzi tatu "macho matatu" ni simu nzuri zaidi. Ukitoa zawadi zingatia mapokeo ya mpokeaji sio mtazamo wako.
5. Vifaa vya A series ni bei nafuu kuliko vya Note, Z na S series. Hasa screen bei inavumilika.
Ninahisi ni simu za wazazi. Usisahau kununua Samsung adapters za type C to C maana A series haziji na chaja, price about @13k. Pia nunua cover around @7k , protector ni @3k.
So far best comment.Nunua mpya Samsung A15 4G 4/128 bei yake 350,000 unapata. Faida zake:
1. Battery kubwa ya 5000 mAh muhimu kwa watu wazima na wa vijijini.
2. Samsung ina software updates nyingi hivyo haiwezi lag na kuwa outdated mapema kama hizo Infinix na Tecno.
3. Samsung ina stable software, camera inayodumu quality na reliability ya parts kama mic, speaker, etc.
4. Kioo kikubwa, three camera lenses kwa ajili ya "washamba" wa kijijini ambao huamini lenzi tatu "macho matatu" ni simu nzuri zaidi. Ukitoa zawadi zingatia mapokeo ya mpokeaji sio mtazamo wako.
5. Vifaa vya A series ni bei nafuu kuliko vya Note, Z na S series. Hasa screen bei inavumilika.
Ninahisi ni simu za wazazi. Usisahau kununua Samsung adapters za type C to C maana A series haziji na chaja, price about @13k. Pia nunua cover around @7k , protector ni @3k.
Na watu wawili hao wapo humu humu na ni washereheshaji kwenye ule uzi uliofutwa unaitwa SandakalaweHabari,
Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne.
Thanks in advance