Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Unawaz vitu vy ajabu
Hizi simu nataka ninunue zawadi kwa watu niliowahaidi. Naweza nunua simu niwapatie ila kwa bajeti ya kiasi nilichonacho

Uliza hawa wananijua zaidi ya hapa
Andazi
mshamba_mwingine
Nourhan
Ms eyes
Leejay49
mshamba_mwingine ni mshamba_hachekwi huyu na huyo wa pili simjui , ms eyes simjui na Leejay49 anakubali kila kitu tu hataki ugomvi. Si yule mzee kasema wewe ni Lamomy eti ??
 
Nina laki 7 na nusu, niliona mijadala 11 Pm haina display kali kama xs max, wanasema 11 kamshinda xs max kwenye camera tu

mm napendelea simu iwe kubwa 6.5+ screen size, display na camera kali

au niongeze ngapi kwenye bajeti yangu nichukue 12 pro max used?
750k haitoshi kununua 11 PM yeyote hata ya viwango vya chini kabisa.
Na hapa unazungumzia habari za ubora wa kioo wewe sasa unataka simu yenye original display sio iliyobadilishwa. 12 PM ya 128GB unapata kwa around 1.3M ikiwa clean.
Hapa kwenye display na battery message sijakuelewa mkuu
Display message, kioo kilibadilishwa na kuwekwa part isiyotambulika na Apple. Haiwezi kuwa na quality ileile na inaweza isiwe na true tone (ile kubadilisha mwanga kutokana na mazingira, simu ikiwa kwenye jua inajipandisha, ikiingia kwenye giza inapunguza mwanga).

Battery message, battery ilibadilishwa.
 
750k haitoshi kununua 11 PM yeyote hata ya viwango vya chini kabisa.
Na hapa unazungumzia habari za ubora wa kioo wewe sasa unataka simu yenye original display sio iliyobadilishwa. 12 PM ya 128GB unapata kwa around 1.3M ikiwa clean.

Display message, kioo kilibadilishwa na kuwekwa part isiyotambulika na Apple. Haiwezi kuwa na quality ileile na inaweza isiwe na true tone (ile kubadilisha mwanga kutokana na mazingira, simu ikiwa kwenye jua inajipandisha, ikiingia kwenye giza inapunguza mwanga).

Battery message, battery ilibadilishwa.
Nashukuru sana mkuu, itabidi niongeze pesa nichukue 12 pm nilivutiwa nayo, japo kwa usawa wa uchumi inakua inavuruga bajeti nyingine.

Hivi kwanini ulinipa option ya XR insted of Xs max? XR iko vizuri sana mkuu?
 
Xs Max inaizidi kila kitu XR. Ila nilijua utachukua kwa muda baadae ufanye top up kwenda 11 PM.
Hata hivyo nilikosea kunukuu pale ulipotaja 11 tu bila kuongeza PM nililinganisha 11 plain na XR, huwa naona bora uende kwa XR clean maana vigumu kupata 11 clean na zipo saresare nyingi.

Na nilikosea kukwambia uchaguzi wangu badala ya wa kwako. XR ni ndogo kwa size ila Xs Max ni better kwa kila kitu. Hata hivyo naipenda XR kuliko Xs Max.
 
mshamba_mwingine ni mshamba_hachekwi huyu na huyo wa pili simjui , ms eyes simjui na Leejay49 anakubali kila kitu tu hataki ugomvi. Si yule mzee kasema wewe ni Lamomy eti ??
Yule ananitania tu anazingua kinyama analyse. Hao ni watani wangu

Nina account moja tu humu. Hii ya Gily
Kuna watu nimesoma nao kama @almightgod au @iamleebrian.

Huyu jamaa baada ya kula ban akapotea mazima.
 
Nimeweza kununua simu moja Leo Samsung A 15 tena nimezunguka sana kkoo kuipata hii simu. Nyingi zipo A 14, hii simu imeadimika.

Kuna mdau alinishauri kununua hii. Wameniuzia 395,000 wamekomaa sana. Protector 5000, na cover silicon 8000.

Screenshot_20240816_152357_Gallery.jpg
 
Nunua mpya Samsung A15 4G 4/128 bei yake 350,000 unapata. Faida zake:

1. Battery kubwa ya 5000 mAh muhimu kwa watu wazima na wa vijijini.
2. Samsung ina software updates nyingi hivyo haiwezi lag na kuwa outdated mapema kama hizo Infinix na Tecno.
3. Samsung ina stable software, camera inayodumu quality na reliability ya parts kama mic, speaker, etc.
4. Kioo kikubwa, three camera lenses kwa ajili ya "washamba" wa kijijini ambao huamini lenzi tatu "macho matatu" ni simu nzuri zaidi. Ukitoa zawadi zingatia mapokeo ya mpokeaji sio mtazamo wako.
5. Vifaa vya A series ni bei nafuu kuliko vya Note, Z na S series. Hasa screen bei inavumilika.

Ninahisi ni simu za wazazi. Usisahau kununua Samsung adapters za type C to C maana A series haziji na chaja, price about @13k. Pia nunua cover around @7k , protector ni @3k.
Ni mediatek, bora AO5s ina exynos
 
Bro nimepata hii. Samsung A 15, iko poa sana nimeikubali.

Hii ya pili nitanunua kesho, je his za samsung a05 kama sijakosea zikoje?
 
Ni mediatek, bora AO5s ina exynos
A05s ina Snapdragon 680 wala sio Exynos
A15 ina Mediatek Helio G99

Sasa mkuu SD 680 inaizidi nini Helio G99. Au ni kitu gani A05s inaizidi A15 kasoro kidogo sana kwenye camera.
Wakati A15 inaizidi kwenye screen quality, battery life, na processing power.
Hata bei A15 ni juu kidogo ya A05s.

Zinapishana kidogo sana anaweza amua yoyote kati ya hizo. Ila kusema Mediatek ni mbovu ni sawa na kudai BWM ni nzuri zaidi ya Toyota alafu hapo unalinganisha BMW X3 old model dhidi ya Toyota Harrier Hybrid.

Tungekuwa kwenye battle ya flagships ndio ungetaja processors. Sasa simu za laki tatu na za kutumiwa watu wa vijijini hata gaming hawajui ndio useme mambo ya processor.
 
Xs Max inaizidi kila kitu XR. Ila nilijua utachukua kwa muda baadae ufanye top up kwenda 11 PM.
Hata hivyo nilikosea kunukuu pale ulipotaja 11 tu bila kuongeza PM nililinganisha 11 plain na XR, huwa naona bora uende kwa XR clean maana vigumu kupata 11 clean na zipo saresare nyingi.

Na nilikosea kukwambia uchaguzi wangu badala ya wa kwako. XR ni ndogo kwa size ila Xs Max ni better kwa kila kitu. Hata hivyo naipenda XR kuliko Xs Max.
Nashukuru sana kaka
 
A05s ina Snapdragon 680 wala sio Exynos
A15 ina Mediatek Helio G99

Sasa mkuu SD 680 inaizidi nini Helio G99. Au ni kitu gani A05s inaizidi A15 kasoro kidogo sana kwenye camera.
Wakati A15 inaizidi kwenye screen quality, battery life, na processing power.
Hata bei A15 ni juu kidogo ya A05s.

Zinapishana kidogo sana anaweza amua yoyote kati ya hizo. Ila kusema Mediatek ni mbovu ni sawa na kudai BWM ni nzuri zaidi ya Toyota alafu hapo unalinganisha BMW X3 old model dhidi ya Toyota Harrier Hybrid.

Tungekuwa kwenye battle ya flagships ndio ungetaja processors. Sasa simu za laki tatu na za kutumiwa watu wa vijijini hata gaming hawajui ndio useme mambo ya processor.
Loh! Ni kweli hiyo helioG99 ni superior kwa spaSD 680 . Lakini kuna dhana tu ...mfano mimi processor ikiwa mediatek hata iwe nzuri vipi sitaichukua
 
Back
Top Bottom