Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Ununuzi wa simu kwa bajeti hio unatakiwa uzingatie mambo kadhaa
1.Mazingira ..Watu unaotaka kuwanunulia wanapitakana wapi?Upatikanaji wa umeme ukoje ?
2.Utunzaji..Unaowanunulia wanautunzaji wa kiwango kipi mfano kuna watu kuangusha angusha simu kwao kawaida kwa hio Simu brand kama. Samsung,Sony sio nzuri kwao
3.Mtazamo wako kulingana na namna unavowafahamu watu hao unaotaka kuwanunulia simu hizo.

Ushauri wangu Simu za Kampuni ya Tecno au Xiamo Redmi,Poco zinawafaa
 
Uishi maish marefu. Ushauri muriwa kabisa

Nimezingatia haya yote. Hawa watu wana smart phones ila ziko outdated kidogo
 
Moja ya simu ninayoikubali ni Samsung s10, ikiwa na uwezo wake wa kipekee wa kusearch hadi herufi mpaka kwenye picha ndani ya simu hadi kwenye message kitu ambacho sijakiona kwenye simu yoyote ile,
Nilishawah kuitumia hii simu kitambo hicho mpya ya dukani. Nikaja kuuza laki 6 na ushee

Unyama. Ila sorry yangu ilikuw s10+
 
Pamoja na hayo brand matters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…