Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

Hapo mchongo mzima ni POS.. ukinunua umemaliza..

Ila hii ya kwenye simu sijui laptop alafu kila mwezi ulipie software ni jau sana
 
Hapo mchongo mzima ni POS.. ukinunua umemaliza..

Ila hii ya kwenye simu sijui laptop alafu kila mwezi ulipie software ni jau sana
Ni kweli, ndio maana mfumo wetu 50 kwa mwaka.


Hasara ya pos yako utaiona siku ikiharibika au ukitaka kubadili biashara au kumuachia yule shemeji yako.

Ila kama bahati unaweza tumia mfumo wetu kwenye posi za kisasa ambazo hazina hizo changamoto...

Ona moja hii hapa
 

Tumia VFD yetu kutoa risiti za TRA
Ukiacha usajili wa mwanzo kwa wateja na bei ya printer au posi, kama unahitaji. Gharama za kutumia mfumo ni elfu 50 tu kwa mwaka bila kujali unatumia vipi.
 

Ukibadili biashara mbona unawekewa software nyingine inayoendana na biashara yako kwenye POS hiyo hiyo?? Uzuri wa PoS pia unatunza kumbukumbu za mauzo yako yote, Z report inajituma yenyewe daily..


Anyway, endeleeni kutuletea ubunifu, its a huge step from where we’ve come..
 
Sio simu na kompyuta tu... Njoo Mfumo wako... au nunua kwetu kwa bei nafuu.
Tunakupa namna , rahisi, salama na nafuu zaidi ya kutoa risiti za tra kwa kutumia simu,kompyuta,pos au mfumo wako ulionao. Huna haja ya kununua machine.
Ipate ndani ya siku 3 tu za kazi. Wasiliana nasi

https://www.facebook.com/
 
TRA wametaja Ambwene Konzo Limited kama wasambazaji wa EFD za zamani pekeake na wameacha VFD ambayo tumekua tukiiuza muda mrefu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…