Kua na upeo mdogo ni jambo la kawaida, unaweza ukawa umesomea udocta ila upeo wako kwenye tehama ukawa mdogo kwaiyo usihisisi hata kwa sekunde kuwa nimekutusi.
Kingine ufahamu usio wa kweli kuhusina na hii huduma hutaki kuusema wazi ila unautumia kutoa kauli tata. Ambazo japokua wewe umeamua kutochukua unawapotosha wengine , Mimi nipo tayari kutengua kauli kuhusu upeo wako mdogo kwenye hili ukijibu swali lolote kati ya haya.
- unaelewa nini mpaka sasahivi kuhusu huu?
- wapi unahisi kuna upigaji?
- maana ya neno ya API?
- Time will tell what na to whom?
Huna haja ya kutoa jibu sahihi ukijibu tu mimi natengua kauli sababu walau nitajua unachanganya nini.