Sijui hata kama umewahi kununua efd machine! , Hiyo 590000 unayonunua , unaweza ku iclaim back unapofanua mahesabubya mwisho wa mwaka kama moja ya gharama za uendeahaji,
Hii ya mtoa mada ni laki nne inayozama yote , huwezi kuiweka kwenye gharama na Tra wakakubali., Lakini yote kwa yote mifumo ya IT kwan nchi za Africa bado ni kizumgumkuti ,
Ni juxi tu hapa tulikuwa na tatizo la control number za malipo ya serikali , na limewasumbuabkweli wataalamu .
Efd ipo connected na server zao na hata likitokea la kutokea bado mteja unakuwa mbali na mabalaa, Hii ya kutumia smartphone kama Efd , kuna siku unaeza pata virus attacks , file zikacorupt , ukaanza kutengeneza illigal recepts bila kujua ,halafu uje ubananishwe na uhujumu uchumi kizembe kabisa .
All in all , I just can't.