Hizo mashine za EFD unazosema zimefungwa kutopokea mfumo toka sehemu nyingine isipokua kwa mtu aliyekuuzia... hata hivyo naona wengi kwa maelekezo ya TRA walitoa update ya bure ili kuziwezesha nazo zitoe risiti za kisasa zenye qr-code kama tulizokua tunatoa sisi. Kama ulifanya hiyo update basi mashine yako haina shida na unaweza endelea kutumia.
Kama utapenda kutumia mfumo wetu kama nyongeza ya hiyo sababu TRA wanaruhusu uwe na mashine zaidi ya moja karibu tupigine kwenye namba zilizo chini ya picha.
Stefano Mtangoo Nashukuru kwa kunasiadia... Naona
macho_mdiliko hajui vizuri kinachoendelea wala technologia inavyofanya kazi anadhani huu mfumo ni kama maembe tunachukua tra na kuwauzia watu mtaani, na kwamba vitu vya bure serekarini vinatokana na kodi zetu wenyewe na pengine vinatekelezwa kwa upigaji mkubwa na/au usimamizi mbovu.