USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Kila mzazi au ndugu wa ndugu yake aliyeowa mchaga roho iko juu juu ya trend yanayotaokana na kuowa mchaga au kuolewa na mchaga
Hofu imetanda kila mmoja akowaza hatma yake siku za usoni je nitaliki au nikomae maana jamii imejaWa sumu kali juu ya hao jamaa
Kila mtu roho ipo juu wazazi wanapiga simu kuuliza nini kitatokea huko mbeleni uzeeni na mchaga