Oa mchaga ila jitahidi usiwe na mali, usijenge nyumba hela yako kula bia hapo safi hakuna kuuliwaMtihani jamii inabidi ielimishwe kama kuna life is more than money, sheria za kurithiana pia ziwekwe sawa ila kwa tz sidhani watawala wanachoangalia wao kwavile haiwaathiri wao hawajali. Kama ilivo kwenye tozo za mamilion kugombowa Martin Muhimbili.
Ni mchaga gani atakubali kukaa na kishoyoiya cha hivyo sasa?Oa mchaga ila jitahidi usiwe na mali, usijenge nyumba hela yako kula bia hapo safi hakuna kuuliwa
Wabongo wote (makabila) mna poverty anxiety, acheni kuwa single out Wachagga.Kila mzazi au ndugu wa ndugu yake aliyeowa mchaga roho iko juu juu ya trend yanayotaokana na kuowa mchaga au kuolewa na mchaga
Hofu imetanda kila mmoja akowaza hatma yake siku za usoni je nitaliki au nikomae maana jamii imejaWa sumu kali juu ya hao jamaa
Kila mtu roho ipo juu wazazi wanapiga simu kuuliza nini kitatokea huko mbeleni uzeeni na mchaga
USSR
Mjukuu wangu nakugawa bure!Hizo ni hearsay wapo wahaya kibao wameoa huko na jamii zingine hata stress hawana ndiyo tupo suma JKT tunakula mbusi.... Muda huu
Nakusalimu morio Jaji Mfawidhi
Aika maiMjukuu wangu nakugawa bure!