Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

Ooh kumbe ngoja nitulize mshono.
Mpaka ninunue 15
View attachment 2766440
Inaonyesha hata 17 hujafika?

IOS 17 kamili ni hatarii
Ina mvuto hapo kwa calls. Wamebadili badili
Hey siri yenyewe unasema tu Siri
Sounds za ringtone zimeboreshwa zaidi
Face time sijafikapo.
Airdrop imeboreshwa.. now tutadrop mpk contacts kwa kugusanisha simu tu.

Ila sasa wakaja kuongeza IOS 17.0.2.. hii ndio nime note inakula chaji.
 
Basi mimi najua hata[emoji23][emoji23]. Hata hii update mpya nimejua ipo baada ya kuona wewe umeandika ndio nikasema heb niangalie . Nilikuwa sijui hata kuna mambo ya update.

Hiyo siri sasa kama nimewahi hata kuitumia[emoji23]. Sijui hata inatumikaje. Kwa kifupi mimi kwenye simu ni bado mshamba mshamba.
 
Siri unaweza iambie mpigie fulani ikampigia, mtext fulani ikamtext. Kwa kutumia English.

IOs 17 ni nzuri, update.. andaa 4GB, ama uwe kwa WiFi.
 
Nina uhakika nilipo ye hayupo.

Aende gadgets point- Arusha.
Nina hakika ni ya uhakika.. ni fast kama mshalee. Ila hiyo 45 ni bei ya wana.
Uwezi amini leo hii nilienda kwa fundi afanye disassembly ya chaja apime voltage, current na microfarads, ni baada ya kupokea lawama kwa wateja. Hapa katoa capacitor kwenye 50W charger na bado kesho naenda na hii yenye 25W kukagua kama specs ni kweli ama kanjanja.
PXL_20230929_162324973.NIGHT.jpg

Huu umeme wa TANESCO umeua vifaa vingi watu wa field hiyo wanajua vifaa gani vya uhakika.
Fast chargers zinazoitwa za iPhone mtaani zile hazina performance sawa na chaja zinazokuja na flagship. Yani nikileta chaja yangu ya Oppo yenye SuperVOOC ikawasha 50W inazizidi mbali sana hizi chaja uchwara zilizopo sokoni zinazodai ni 50W. Hata chaja yangu ya Xiaomi ilikuwa madhubuti kuliko hizi separate, kwanza zinachemka na zinaungua kirahisi.
Chaja za kuja na simu zilikuwa msaada kwetu sisi wabongo na fake products.
 
Back
Top Bottom