Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Type C haina relationship yoyote na kupata kwa moto kwa simu.. ingekuwa wanaweka ktk charge ndio inapata moto via using type c cables hapo sawa. Ila tatizo linatokea wakati functionality ya Type C haipo active.Wakati samsung note 7 inatoka na type C ilikumbana na janga zito,mpaka sasa bado haijafahamika hii tech ina athali kiasi gani.
Kuhusu joto pia bado haieleweki kama ni hii tech mpya ya type c.
Kimsingi ndio iphone ya kwanza kukumban na matatizo kutoka kwake kuliko yoyote,tutegemee na milipuko soon.
Kingine ni kwamba ktk hardware setup ya Type C kuna resistors and other components zinazoruhusu umeme kupita sasa kama umeme ni mwingi inaua power IC or charge port na sio kufanya overheating. So type C mnaisingizia.