Inaonyesha hata 17 hujafika?
Unaimudu pro max ehee? Mimi ilinishinda.
Nipigie picha nione ntaaminiC to C zipo bana
Mbona mm ndio natumia jamani?
Ama uko wapi mwenzetu? Huko ambako vitu vya kawaida kama hivyo havipo
Inaonyesha hata 17 hujafika?
IOS 17 kamili ni hatarii
Ina mvuto hapo kwa calls. Wamebadili badili
Hey siri yenyewe unasema tu Siri
Sounds za ringtone zimeboreshwa zaidi
Face time sijafikapo.
Airdrop imeboreshwa.. now tutadrop mpk contacts kwa kugusanisha simu tu.
Ila sasa wakaja kuongeza IOS 17.0.2.. hii ndio nime note inakula chaji.
Unaimudu pro max ehee? Mimi ilinishinda.
Siri unaweza iambie mpigie fulani ikampigia, mtext fulani ikamtext. Kwa kutumia English.Basi mimi najua hata[emoji23][emoji23]. Hata hii update mpya nimejua ipo baada ya kuona wewe umeandika ndio nikasema heb niangalie . Nilikuwa sijui hata kuna mambo ya update.
Hiyo siri sasa kama nimewahi hata kuitumia[emoji23]. Sijui hata inatumikaje. Kwa kifupi mimi kwenye simu ni bado mshamba mshamba.
Uwezi amini leo hii nilienda kwa fundi afanye disassembly ya chaja apime voltage, current na microfarads, ni baada ya kupokea lawama kwa wateja. Hapa katoa capacitor kwenye 50W charger na bado kesho naenda na hii yenye 25W kukagua kama specs ni kweli ama kanjanja.Nina uhakika nilipo ye hayupo.
Aende gadgets point- Arusha.
Nina hakika ni ya uhakika.. ni fast kama mshalee. Ila hiyo 45 ni bei ya wana.
Nasemea kwenye uzito.. na upana.Ilikushinda kwenye nini mbona zipo kawaida tu kama hizi nyingine? Au ni vile mimi matumizi yale ya deep sana sina?
Zna chemka sana hzo smIlikushinda kwenye nini mbona zipo kawaida tu kama hizi nyingine? Au ni vile mimi matumizi yale ya deep sana sina?
Simu gani? Pro max zote ama?Zna chemka sana hzo sm
Mimi nasikitika tu hii IOS 17.0.2 inamaliza chaji. Najuta ku update.
ππ ulitakiwa unipe ushauri kabla yaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole my wangu, ungeniuliza nkushauri.[emoji18]
[emoji23][emoji23] ulitakiwa unipe ushauri kabla yaa
Yan baada ya kuona tunapokea notification tu, ungenambia π₯Ή
ππ sa kwanini nibaki nyuma?Software updates nyingi zinakula chaj hatari
Hata hii 16 ilivyotoka nayo ilkua inakimbia na chaji sana
Sasa hiyo 17 nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]