Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

Type C haina relationship yoyote na kupata kwa moto kwa simu.. ingekuwa wanaweka ktk charge ndio inapata moto via using type c cables hapo sawa. Ila tatizo linatokea wakati functionality ya Type C haipo active.

Kingine ni kwamba ktk hardware setup ya Type C kuna resistors and other components zinazoruhusu umeme kupita sasa kama umeme ni mwingi inaua power IC or charge port na sio kufanya overheating. So type C mnaisingizia.
 
Hii simu haijapokelewa vizuri Ulaya!
 
Kampuni kinara =SAMSUNG
 
Tayari wanasema bettri inashika mimba
 
Jombaa nina Fast charger ya hii Redmi nnayotumia aisee ni kisanga, hata nikiuza hii simu hiyo chaja naibakiza [emoji23] OG ni OG tu

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…