Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

I assume if he sees someone else he will let me know that things are not working between us.
Atleast be close to his device you'll be updated indirectly. Ila usubiri kwa sisi wabongo eti nikupe taarifa ya namna hiyo sahau

Then, is not only love diversion affair's you need to know in hubby's phone. There's biz, his friends, n.k
 
Atleast be close to his device you'll be updated indirectly. Ila usubiri kwa sisi wabongo eti nikupe taarifa ya namna hiyo sahau

Then, is not only love diversion affair's you need to know in hubby's phone. There's biz, his friends, n.k
Dabby that's why you marry a man who is your friend, you will come to know his friends during your conversations, his business affairs the same.
 
Mimi nikirudi job simu huwa naiacha hapa sitting room na kuendelea na ratiba zingine wala sina cha kuficha. Naye wife ya kwake hazuii mimi kuishika wala kuitumia.

Nina rafiki yangu tumesoma wote chuo, huyo ana routine ya kukagua simu ya mkewe kila siku. Yaani asione sms imetoka kwa jinsi ya kiume hata kama ni mfanyakazi mwenzie amemsalimia lazima moto uwake. Nimeshauri apunguze hii tabia ya kupekua pekua simu ya mkewe hataki kusikia. Kuna siku mkewe aliwahi kuniambia rafiki yako ananihisi namsaliti wakati sina mpango wa kufanya hivyo. Then akamalizia kwa kusema kusingiziwa kitu ambacho hujafanya inaumiza sana sasa si bora nifanye tu huko nje ili tuhuma zake ziwe za kweli?

Angalizo: Mke/mume atakuheshimu sana kama utamwonesha kuwa unamwamini. Si vizuri na haileti afya mara kwa mara kuwa na hisia hasi juu ya mwenza, mara nyingi mwisho wake huwa si mzuri
 
Dabby that's why you marry a man who is your friend, you will come to know his friends during your conversations, his business affairs the same.
Wife is my friend. A close one. I have privacies but not to her....friends touch my phone why not her?

Openness.. not only in sexact.
 
Anayeficha ficha lazima kuna kitu kibaya ulishaona mtu anapigiwa simu huku anaumwa jicho lote lipo kwenye simu kama juha maisha hayo mabaya sana, matatizo hayawezi kuisha watu wanalala uchi halafu mawasiliano ya simu eti siri hata shetani anashangaa
 
Picha nzuri inavutia
 
Anayeficha ficha lazima kuna kitu kibaya ulishaona mtu anapigiwa simu huku anaumwa jicho lote lipo kwenye simu kama **** maisha hayo mabaya sana, matatizo hayawezi kuisha watu wanalala uchi halafu mawasiliano ya simu eti siri hata shetani anashangaa
Yaani watu mnaishi nyumba moja kitanda kimoja tena uchi, mlo mmoja mipango mnapanga pamoja halafu muogopane kuachiana simu.?

[emoji125] [emoji125]
 
Mimi Ni mwiko kuangalia Simu la Le Hubby.Najua.madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…