Mzee naona upo na wenzetu hata salamu hautaki kunipa. ? Au umeshikiwa simu na mpwa?
Si najua ushawavusha wengi hizi server. Siku hizi hatutoi namba kutana nao anna kwa anna kuepusha mitafaruko nyumbani.Ha ha ha kwenye hili mzee misimamo yetu tofaut kabisaa aiseee mie na simi tofauti mpwa wako nshamwambia simu atasahau kuishika hata afanyaje
Daah. Sitaki kukumbuka huo ugonjwa wangu wa zamani sababu nilitaka kubaki mifupa mana nilikuwa na mawazo hasi kila kukicha kumbe nilikuwa najimaliza mwenyewe.
Si najua ushawavusha wengi hizi server. Siku hizi hatutoi namba kutana nao anna kwa anna kuepusha mitafaruko nyumbani.
Maliza kusoma nifute kabla hawajafika huku.
Siku hizi watu wanahide applications unakuta ana Skype JF snap kote anavimeo halafu mmewe/mkewe hajui.Nmemaliza edit tu mkuu
Wala nilikuwa najiongelesha tu
unaongea na mimi au bamdogo
Au kuna kesi mamdogo! Maana idd ikishakaribia hauchelewi kuniambia unanidai[emoji23] [emoji23] [emoji23] bamdogo sina kwahiyo ulikuwa unanitaja tu peke yako
Mna majunguuuuMzee naona upo na wenzetu hata salamu hautaki kunipa. ? Au umeshikiwa simu na mpwa?
Ha ha ha kwenye hili mzee misimamo yetu tofaut kabisaa aiseee mie na simi tofauti mpwa wako nshamwambia simu atasahau kuishika hata afanyaje
Mzee hzi mambo unazijua enheeSiku hizi watu wanahide applications unakuta ana Skype JF snap kote anavimeo halafu mmewe/mkewe hajui.
hizo kazi za kina mamdogo unaweza k
Kuwavusha wap tena dada shunienishawahi mie hivi umevusha wangapi kaka bonny
Mpwa wake mtu vipMna majunguuuu
Ndiyo pakujiuliza hapo unayemficha anakupikia anakufulia anakufanyia utakacho lakini simu tu mmm tunamsingizia shetani kweli naye atakuwa anamwambia Mungu watu wako siwaweziYaani watu mnaishi nyumba moja kitanda kimoja tena uchi, mlo mmoja mipango mnapanga pamoja halafu muogopane kuachiana simu.?
[emoji125] [emoji125]
Hizi mambo zimeanza kunitupa mkono bwana... sema huyu mdogo wako mwache tu... anajifanya kunikingia kifua ilaMzee hzi mambo unazijua enhee