Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani

Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
 
Kusema kweli, 4G yenyewe ni 3G.

3G ina average speed ya 4MB/s na inaweza kwenda high hadi 7MB/s.
images (31).jpeg
 
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani

Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
Sasa hapo shida ni mtandao unaweza kutumia 5g kwenye 4g na si kinyume chake namaanisha kama provider anatoa 4g internet unadhani utapataje 5g kwenye simu ya 5g? Hapo unatumia 4g au 3g internet wakati simu ni ya 5g
 
Back
Top Bottom