Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Laini za 4g zinatumika kwenye 5g hamna laini special kwa 5g pekee!!
Laini kutumika inatumika popote hata kama device ni 2G unatumia , tulichokuwa tunajadili ni je kuna uwezekano laini ya 4G kuwa na kasi y 5G ukiweka kwenye device ya 5G? Swali liko hapo.


Mi ninachojua itabaki kuwa 4G kwa experience ya miaka ya nyuma wakati inaingia 4G , laini nilikuwa natumia ni 3G ila simu inasupport 4G , lakini internet ilikuwa inasoma 3G mpaka nilivyoenda shop ya huduma kwa wateja wakaniambia swap laini
 
Back
Top Bottom