Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Jamaa anasema ngoja tuendelee kuwapiga hawa wapuuzi na 5G zao za mchongo 😂niko na ISP worker hapa namuonesha uzi anacheka tu,😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anasema ngoja tuendelee kuwapiga hawa wapuuzi na 5G zao za mchongo 😂niko na ISP worker hapa namuonesha uzi anacheka tu,😂
Jaribu tuu ww mwnyw hapo, tafuta kitu cha maybe 100mb afu download kwa 4G na nyngn kwa 5G ndio utajua hakuna utofautiYan we mpare usikosoe uchekwe 😂😂😂
Bora ifungwe tu usije tumiwa sms na kina lucas mwashambwa..😁Haitumiki mkuu
Haitumi wala haipokei
fanya speed test mkuu.
Unaweza ukai taja hio simu ya laki 5 ambayo ina 4G na simu hio hio ina 5G inauzwa milioni?Sawa tunakubali, ndo kuwe na utafauti wa laki tano kisa 5G??
Si Kweli, hakuna simu yoyote duniani eti sababu ina 5G basi bei imeongezeka laki 5Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani
Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
Mtoa mada ndo kasemaUnaweza ukai taja hio simu ya laki 5 ambayo ina 4G na simu hio hio ina 5G inauzwa milioni?
Una unlimited ya M2m?4g ya halotel m2m ni noma
Hapana hii ni ile ya kupima kwa GbUna unlimited ya M2m?
Upo sahihi mkuu kitu chengine kuongezea ukiwa na speed ya kasi unaperuzi page nyingi zaidi, mtu mwenye internet slow kuna muda anasubiria ili page ifunguke hivyo Ina limit page ngapi atafungua kwa siku, ila mwenye internet yenye speed anaserereka tu akigusa inafunguka hivyo anafungua page nyingi zaidi.Hivi humu ndani naomba nieleweshwe NADHARIA ya kua 5G inatumia bundle kubwa kuzidi 4G, maanake naona hiki kitu watu wengi wanakiamini, mimi akili yangu imegoma kuamini.
How????????
Una file la 10Mb, ukili download kwa 4G litatumia data chache mfano hio hio 10Mb,
Na ukili download kwa 5G litatumia data zaidi mfano 15Mb?, Logic iko wapi hapaa?
Nijuavyo 4G & 5G it's just Internet Speed,
i.e how fast your going to download/stream e.t.c file/content at a given time...
Labda iwe hivi...
Kwanza achana kabisa na file la ku download, hapo sijui utumie technolojia gani kunielewesha..
Twende kwenye streaming hapa unaweza ukanishawishi.
KIVIPI??
Ukiwa unaangalia lets say Movie Neflix au YouTube mfano katika resolution ya 1920×1080(FULL HD) kwa kutumia speed ambayo inacheza, yaani kuna mda inakua 4G mda mwingine 3G/H+, hizo sites zina sifa za ku detect data speed yako na ku adjust resolution ya Movie yako, mfano kutoka kwenye 1920×1080(FHD) kwenda kwenye 1280×720(HD), ili angalau kukusaidia movie isisimame kabisa, ndio maana mda mwingine unaona inakuja na ukungu ukungu na ku stack, labda data zikishuka sana ndio itasimama kabisa.
Kwahio basi, matumizi ya data yanapanda na kushuka kulingana na Connection yako, Naamini as long umeweza ku login Jf unajua, Resolution = Data kubwa, and vice versa.
Lakini ukiwa katika Connection iliyoko JUU na ipo STABLE (mfano hio 5G sasa) Video yako yote utaiangalia katika resolution ya FHD, na hapo ndipo matumizi ya data yataonekana makubwa..
Kwa hilo ndio nitakubali Hoja yenu, otherwise mnipe nisichokijua.
Chief-Mkwawa .
Faster internet inakula MB zaidi, Ukiweka 3G mode unaweza tumia MB 50 Kuperuzi Jamiiforum for hours ila inafungua pages slow kutegemea mtandao na location but ukiswitch 4G/5G mode na MB zako 50 ukiopen page chache tu MB zinaisha dk 10 nyingi.Hivi humu ndani naomba nieleweshwe NADHARIA ya kua 5G inatumia bundle kubwa kuzidi 4G, maanake naona hiki kitu watu wengi wanakiamini, mimi akili yangu imegoma kuamini.
How????????
Yaani una file la 10Mb, ukili download kwa 4G litatumia data chache mfano hio hio 10Mb,
Na ukili download kwa 5G litatumia data zaidi mfano 15Mb?, Logic iko wapi hapaa?
Nijuavyo 4G & 5G it's just Internet Speed,
i.e how fast your going to download/stream e.t.c file/content at a given time...
Labda iwe hivi...
Kwanza achana kabisa na file la ku download, hapo sijui utumie technolojia gani kunielewesha..
Twende kwenye streaming hapa unaweza ukanishawishi.
KIVIPI??
Ukiwa unaangalia lets say Movie Neflix au YouTube mfano katika resolution ya 1920×1080(FULL HD) kwa kutumia speed ambayo inacheza, yaani kuna mda inakua 4G mda mwingine 3G/H+, hizo sites zina sifa za ku detect data speed yako na ku adjust resolution ya Movie yako, mfano kutoka kwenye 1920×1080(FHD) kwenda kwenye 1280×720(HD), ili angalau kukusaidia movie isisimame kabisa, ndio maana mda mwingine unaona inakuja na ukungu ukungu na ku stack, labda data zikishuka sana ndio itasimama kabisa.
Kwahio basi, matumizi ya data yanapanda na kushuka kulingana na Connection yako, (Naamini as long umeweza ku login Jf unajua, Resolution = Data kubwa, and vice versa).
Lakini ukiwa katika Connection iliyoko JUU na ipo STABLE (mfano hio 5G sasa) Video yako yote utaiangalia katika resolution ya FHD, na hapo ndipo matumizi ya data yataonekana makubwa..
Kwa hilo ndio nitakubali Hoja yenu, otherwise mnipe nisichokijua.
Chief-Mkwawa .
Mkuu, naomba nielekeze hapa,Si Kweli, hakuna simu yoyote duniani eti sababu ina 5G basi bei imeongezeka laki 5
5G imeongeza specs za simu za bei rahisi, sasa hivi zina nguvu kupita maelezo, hata kama unatumia 4G kununua simu ya 5G ni muhimu.
Mfano unanunua simu lowend ya 4G utakuta inatumia 4G ya kizamani 150mbps ama ikizidi sana 300mbps hupati feature zote za 4G kama LTE advance, Mimo etc.
Ila ukinunua simu ya 5G lowend ambazo unazipata chini ya laki 4 kama Redmi note 12 yenye snapdragon 4 gen 1 inakuja na LTE Cat 18 aka ina speed ya 4G hadi 1.2Gbps, hatuna mtandao wenye gigabit LTE ila utapata LTE advance comparable na flagship za 4G.
So mkuu vice versa is true simu za 5G za bei rahisi zinakupa 4G ya maana ambayo zamani ilikuwa ikipatikana kwenye flagship tu kama S20 ama S10.
4G ni generation ya technology, kama zilivyo generation nyengine ilikuwa improved kadri muda unavyokwenda.Mkuu, naomba nielekeze hapa,
simu yangu ni ( 4G+) na sio 4G,
Tofauti yake ni nini?
4G ni generation ya technology, kama zilivyo generation nyengine ilikuwa improved kadri muda unavyokwenda.
4G ya kwanza kabisa ilikua ndio LTE yenyewe ni kama around 150mbps,
Then 4G ikawa improved wakatoa hio LTE advance (LTE-A) sometime inatokea 4G+ kwenye simu, hii speed inakuwa 300mbps hadi 1gbps na inafanikisha hili kwa kuconnect na minara mingi, simu zenye 4G+ zinaconect minara 2 ama minne kwa mpigo ili kuongeza speed na stability ya Network.
So kuwa na 4G na 4G+ inasaidia, hasa ukiwa eneo mpo wengi wewe mwenye 4G+ utakua na advantage ya kupata mawasiliano bora zaidi.
Sema makampuni ya tz, hapo south 5g ni 5g kweli. Service provider wa bongo bado sanaMakampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani
Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]