Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani

Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
Sema makampuni ya bongo ndio hawana hiyo mitambo ya kusupport hyo tech
 
Na ina maintain hapo kwa 24hrs au
Inakaa kaaa 😂😂😂
24hrs sijui maana uwa nalala hapo kati.
IMG_8127.png
 
Back
Top Bottom