Sawa tunakubali, ndo kuwe na utafauti wa laki tano kisa 5G??Acha kukariri.
Tumia iPhone ama 5G Router utaona tofauti sana kati ya hoyo 4G unayoisema na 5G
Tanzania hatuna 5g,tuna 4g pure ambavyo kwa utapeli wao wameamua kuiita 5g
Duh!Tz hakuna 5G, wanatudanganya tuu.
Labda ya Buza!Iphone 14 nnayo hkuna kitu
Sasa hapo shida ni mtandao unaweza kutumia 5g kwenye 4g na si kinyume chake namaanisha kama provider anatoa 4g internet unadhani utapataje 5g kwenye simu ya 5g? Hapo unatumia 4g au 3g internet wakati simu ni ya 5gMakampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani
Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
Wanatoa speed za 5G kweli au ni 4G iliyochangamka maana hata 4G yenyewe sehemu nyingi unapata speed za 3G ishu sio mnara kusoma 3,4 au 5G ishu ni hizo speed ziko sawa kwa standard husika??Acha kukariri.
Tumia iPhone ama 5G Router utaona tofauti sana kati ya hoyo 4G unayoisema na 5G
iPhone ya nini kama mtandao ni 4g simu yako ya 5g inategemea kupata 5g ?Acha kukariri.
Tumia iPhone ama 5G Router utaona tofauti sana kati ya hoyo 4G unayoisema na 5G
5G ni speed na sio ulaji wa Mbs, ukidownload kitu cha 100mb italika hiyo hiyo 100mb bila kujali una 3G 4G au 5G ila speed ndio itakuwa tofauti.5G huwa inachungulia tu,then muda wote inacheza 4g,na kwa mabando yetu haya ya 1000,5g ni kiranga.
Tulia mjomba.Tz hakuna 5G, wanatudanganya tuu.
Naona ni sawaWanatoa speed za 5G kweli au ni 4G iliyochangamka maana hata 4G yenyewe sehemu nyingi unapata speed za 3G ishu sio mnara kusoma 3,4 au 5G ishu ni hizo speed ziko sawa kwa standard husika??
Sidhani… nimelinote hilo nikipima bundle5G ni speed na sio ulaji wa Mbs, ukidownload kitu cha 100mb italika hiyo hiyo 100mb bila kujali una 3G 4G au 5G ila speed ndio itakuwa tofauti.