Sema makampuni ya bongo ndio hawana hiyo mitambo ya kusupport hyo techMakampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani
Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza milioni moja yenye 4g laki 5, yaani 5g imekula laki tano[emoji23][emoji23]
Hili linachekesha kidogo. Ni kama mtu anakwenda dukani ananunu TV ya 4K halafu unaangalia matangazo ya hivi vituo vya TV vya standard defination halafu unalalamika TV yako haionyeshi 4K.Hiyo
iPhone ya nini kama mtandao ni 4g simu yako ya 5g inategemea kupata 5g ?
Bc unafanya vitu vingi na pia mitandao ya simu nao wezi tuuSidhani⦠nimelinote hilo nikipima bundle
Bando la elf 5 halimalizi masaa 12
Na ina maintain hapo kwa 24hrs au.? Ila bado speed haitofautiani na 4GTulia mjomba. View attachment 3002197
Inakaa kaaa πππNa ina maintain hapo kwa 24hrs au
Yaan. Ni aibuBc unafanya vitu vingi na pia mitandao ya simu nao wezi tuu
Vizuri ila 5G ya Bongo ina utapeli hvInakaa kaaa πππ
24hrs sijui maana uwa nalala hapo kati.View attachment 3002206
Mbona inbox yako ipo tupu? Hawakutumii SMS?πInakaa kaaa πππ
24hrs sijui maana uwa nalala hapo kati.View attachment 3002206
Kikubwa ungefanya speedtest.....inaweza speed ikawa kubwa ila ikawa bado haijafikia 5gSidhani⦠nimelinote hilo nikipima bundle
Bando la elf 5 halimalizi masaa 12
VyoteKwahiyo shida ni simu au mtandao?
ata iyo 4G hakuna kamba tunafungwaTanzania hatuna 5g,tuna 4g pure ambavyo kwa utapeli wao wameamua kuiita 5g
Haitumiki mkuuMbona inbox yako ipo tupu? Hawakutumii SMS?π
Yan we mpare usikosoe uchekwe πππVizuri ila 5G ya Bongo ina utapeli hv
Umemalza kila kitu, uzi ufungweHili linachekesha kidogo. Ni kama mtu anakwenda dukani ananunu TV ya 4K halafu unaangalia matangazo ya hivi vituo vya TV vya standard defination halafu unalalamika TV yako haionyeshi 4K.