Simu za 5G ni utapeli tu hazina tofauti na 4G

Depal yupo tayari kunyongwa kuliko kuamini mliyoyaandika.
 
5g ni hardware, so kuipata ni mpaka waje wafunge vifaa vya 5g kwenye mnara wako wa karibu au eneo lako. So kwa kuwa 5G husoma LTE kwa simu nyingi, wasa na inavyosoma 4g, ni ngumu kuitofautisha 5g na 4G kama eneo lako halina 5g. Ila ikiwepo tofauti utaiona.
 
Tz hakuna 5G, wanatudanganya tuu.
Bro sio kweli 5G ipo kuwa na device sahihi na uwe sehemu sahihi utaona balaa lake. Ukisema 5G ipo sehemu chache mno nita kuelewa. Airtel 5G na push mpaka 500mbps mzee ni moto sana ahhhahahhaaha. Tatizo Posta yenyewe hamna ipo Kigamboni pale ferry tu ukiwa kwenye waitinh lounge na kwa mbali ukiwa Ferry magogoni
 
5G ya simu inatakiwa pia laini unayotumia iwe 5G , ukitumia simu 5G halafu sim card 4G bado haileti mabadiliko.

Ila kwa Tanzania mtandao wenye kasi vizuri ni Vodacom
๐Š๐ข๐›๐จ๐ง๐ ๐จ ๐›๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ก๐š๐ฆ๐ง๐š ๐ฅ๐ข๐ง๐ž ๐ฒ๐š 5๐† ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐š 4๐† ๐ง๐ข ๐ฌ๐š๐ฐ๐š?
 
Sio utapeli tatizo la watoa huduma kwenda na wakati wa vifaa vyao vya kukupa 5g PESA HAKUNA.
INABIDI WAINGIE BAJETI KUBADILISHA MINARA YOTE VIFAA
 
Hapo uongo, laini iwe 4G halafu simu iwe 5G na isapoti 5G any way sijui zaidi wataalam wa IT wanaweza kutusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ