Laini kutumika inatumika popote hata kama device ni 2G unatumia , tulichokuwa tunajadili ni je kuna uwezekano laini ya 4G kuwa na kasi y 5G ukiweka kwenye device ya 5G? Swali liko hapo.
Mi ninachojua itabaki kuwa 4G kwa experience ya miaka ya nyuma wakati inaingia 4G , laini nilikuwa natumia ni 3G ila simu inasupport 4G , lakini internet ilikuwa inasoma 3G mpaka nilivyoenda shop ya huduma kwa wateja wakaniambia swap laini