Simu za Google Pixel zina shida gani?

Pixel 7 kariakoo laki 7 ==== Refurbish, Sawa sawa na iPhone za makumbusho. Kama unataka simu nzuri na hauna pesa ya kutosha ni bora usubiri upepo wake upite ishuke bei kidogo ununue Mpya, ama tafuta smartphone mpya inayoendana na bei yako. ila kama umejipanga kubet (liwalo na liwe) nunua hizo refurb.
 
Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.

Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.

Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.

Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
 
Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.
Sio zote Mimi hapa natumia Pixel na napingana na maelezo yako kwa 100%
 
Hakuna simu original china Plaza,Hizo zote zimetumika na kuchezewa huko Dubai

Angalia vizuri storage za simu za china plaza

Ni refurb zote
 
u
meeleza kiweledi sana,big up,sio mtu anajifanya anajua wakati hajui lolote..
 
huawei
ndo simu zangu pendwa...
 
Nje ya mada..

Huawei dual... Ila slot moja imekufa haisomi line ghafla tu.
 
mimi nilihama samsung na kwenda huawei,baada ya samsung feki kuzagaa sana,na ku pass baadhi ya testing za simu orijino..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…