stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mimi nilinunua boxed mshafeli alafu muwe mnatafuta 'verified sellers' sio mnavamiavamia TU mnaishia kufanywa shamba darasa,sio boxed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilinunua boxed mshafeli alafu muwe mnatafuta 'verified sellers' sio mnavamiavamia TU mnaishia kufanywa shamba darasa,sio boxed
mimi huwa nanua samsung mkononi,zinakaa hata miaka 2/3,mpaka nauza.Miezi 4 imedumu sana mbona
Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.Wadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.
Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Nunua mpya usinunue refurbishedAlamanusra nikanunue hiyo simu nimeaihirisha
Sio zote Mimi hapa natumia Pixel na napingana na maelezo yako kwa 100%Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.
Hakuna simu original china Plaza,Hizo zote zimetumika na kuchezewa huko DubaiWadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.
Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.
Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Simu refurbished haiangalii una profession ganiwashamba kivipi mkuu?huyo wa pixel 7 ni electrica eng & computer programer,huyo wa pixel 4,ni environment engineer,ebu nieleweshe,washamba kivipi yani...
meeleza kiweledi sana,big up,sio mtu anajifanya anajua wakati hajui lolote..Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.
Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.
Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.
Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
ndo simu zangu pendwa...Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.
Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.
Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.
Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
Lengo langu twende pamoja mkuu ,wabongo Tatizo mnapenda ujuaji sana😅kwa hiyo kiongozi,ulitoka tumboni umeshakuwa mzoefu wa kutumia simu za google pixel?
Dharau zingine mbaya sana,hasa kumdharau mtu usiyemjua...
Kwa hio umekubari kwamba hao mainjinia wako pamoja na uinjinia wao ni vilaza wa kutupa,u
meeleza kiweledi sana,big up,sio mtu anajifanya anajua wakati hajui lolote..
Nadhani simu nyingi zipo hivyo ukiwa na simu iliyoshika roho umakini unatakiwa sana...Samsung kilinikimbiza kioo, Ile Simu bei ya kioo chake nanunua Simu zingine 2 na chenji inabaki
Hii point muhimu umakiniNadhani simu nyingi zipo hivyo ukiwa na simu iliyoshika roho umakini unatakiwa sana...
ni SIMUNipeni Ubora wa REDM