Simu za Google Pixel zina shida gani?

Simu za Google Pixel zina shida gani?

Pixel 7 kariakoo laki 7 ==== Refurbish, Sawa sawa na iPhone za makumbusho. Kama unataka simu nzuri na hauna pesa ya kutosha ni bora usubiri upepo wake upite ishuke bei kidogo ununue Mpya, ama tafuta smartphone mpya inayoendana na bei yako. ila kama umejipanga kubet (liwalo na liwe) nunua hizo refurb.
 
Wadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.

Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.

Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.

Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.

Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.

Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
 
Sio zote Mimi hapa natumia Pixel na napingana na maelezo yako kwa 100%
 
Wadau wiki mbili zilizopita,dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua china plaza.

Walipo mpeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka.

Juzi rafiki yangu,google pixel 7, haina hata miezi 5 tangu anunue 700,000/ kkoo,imezima ghafla, leo amepeleka aliponunua, eti motherboard imekufa, kulikuwa na ambayo imekufa kioo, kwa hiyo wamebadilisha motherboard ndo imewaka hizi simu zina shida gani wataalam.
Hakuna simu original china Plaza,Hizo zote zimetumika na kuchezewa huko Dubai

Angalia vizuri storage za simu za china plaza

Ni refurb zote
 
u
Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.

Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.

Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.

Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
meeleza kiweledi sana,big up,sio mtu anajifanya anajua wakati hajui lolote..
 
huawei
Pixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika wa AC Kariakoo wanahesabika na penyewe unaweza tengeneza ikaharibika ndani ya miezi miwili. Hiyo uliyouziwa iliwahi haribika AC wakatengeneza, na ulipewa kwa bei nafuu.

Pixel 7 haipo ya 700,000 hivyo nayo hiyo itakuwa ilikuwa na shida ikatengenezwa ukauziwa.

Pixel sio simu zinazodumu sana. Sio simu za kuchaji thousands of cycles ukategemea parts ziwe vizuri. Bado jiandae na tatizo la charging system.

Simu zinazodumu ni iPhone na Huawei
ndo simu zangu pendwa...
 
Nje ya mada..

Huawei dual... Ila slot moja imekufa haisomi line ghafla tu.
 
mimi nilihama samsung na kwenda huawei,baada ya samsung feki kuzagaa sana,na ku pass baadhi ya testing za simu orijino..
 
Back
Top Bottom