mwalisi
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 651
- 561
pamoja na redmiPixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja na redmiPixel 4 zina tabia ya kufa AC itakuwa yako nayo imekufa. Ichaji alafu washa ikirespond kwa ule mtetemo wa kushtuka ikiwaka ila screen iko off hapo probably ni AC. Mafundi wa uhakika...
Redmi simu za kishambapamoja na redmi
hahahahaha kwaniniRedmi simu za kishamba
Hii ni mpya eh imetoka mwaka huu..bei gani dukani, na iko poa ?!Natumia Redmi 13 pro
Redmi inategemea ni ipi. Wanazo zenye body ya kawaida ila si rahisi kusikia imeharibu parts au kuzimika. Hata hivyo second hand Redmi kwa bongo sio nyingi.pamoja na redmi
akipata not 11 au 12Redmi inategemea ni ipi. Wanazo zenye body ya kawaida ila si rahisi kusikia imeharibu parts au kuzimika. Hata hivyo second hand Redmi kwa bongo sio nyingi.
Simu hii ya Pixel nnayotumia haijavunjika kioo na imeangukia Sura zaidi ya mara 3 na sijawahi kuweka screen protector naitumia km ilivyo na ishatumbukia kwenye maji zaidi ya mara 3 Ila Ile Samsung iliangukia sura mara 1 tu kioo kika-bust alafu kuna siku nikakosea nikailalia ndio ikawa kwisha habari yake ikaanza kuchemka nikiichaji yaan km nimeinjika sufuria kwenye jiko la gesi kwenda kuulizia kioo nikaambiwa nikadata ikabidi niiuze tu km spear kwa wale mafundi kuanzia pale sitaki tena Samsung,Nadhani simu nyingi zipo hivyo ukiwa na simu iliyoshika roho umakini unatakiwa sana...
Nokia ndiyo simu zangu Toka kipindi wanatumia window phone na sasa androidSimu ni Nokia Samsung ama apple
Wapi nimesema ni zote?Sio zote Mimi hapa natumia Pixel na napingana na maelezo yako kwa 100%
Basi hapo ndio ulitakiwa urekebishe pale fanya editing sema sio zote maana ume-generalize kwamba zoteWapi nimesema ni zote?
Hilo dungu nyokooo sehemu Moja kigoma ndan ndan mtandao Hadi ukae uwanja wa mpira ....mwamba akiwa geto Lina kamata mtandaoNipeni Ubora wa REDM
Ndio nini hilo?Hilo dungu nyokooo sehemu Moja kigoma ndan ndan mtandao Hadi ukae uwanja wa mpira ....mwamba akiwa geto Lina kamata mtandao
Hiyo Samsung iliharibu inner panel tunaita kioo namba mbili. Hasahasa ikiwa ni replaced second hand wakaweka LED ndio zina cases ikitenguka kidogo inachemka screen na kuisha chaji haraka.Simu hii ya Pixel nnayotumia haijavunjika kioo na imeangukia Sura zaidi ya mara 3 na sijawahi kuweka screen protector naitumia km ilivyo na ishatumbukia kwenye maji zaidi ya mara 3 Ila Ile Samsung iliangukia sura mara 1 tu kioo kika-bust alafu kuna siku nikakosea nikailalia ndio ikawa kwisha habari yake ikaanza kuchemka nikiichaji yaan km nimeinjika sufuria kwenye jiko la gesi kwenda kuulizia kioo nikaambiwa nikadata ikabidi niiuze tu km spear kwa wale mafundi kuanzia pale sitaki tena Samsung,
REDM simu mkuuNdio nini hilo?
Sibadilishi, huo ndio uzoefu wangu. Nimesema Pixel hazidumu hiyo kauli ni data driven sijakurupuka. Simu yako kudumu haibadilishi msimamo wangu, kwenye statistics kuna outliers.Basi hapo ndio ulitakiwa urekebishe pale fanya editing sema sio zote maana ume-generalize kwamba zote
Zinaitwa 'Xiaomi Redmi' za kutoka ChinaREDM simu mkuu
Sawa mkuu umeshasema sio zote basi hakuna shida hapo, maana hata iPhone zinalipuka na hio Huawei hata kwa bure sichukuiSibadilishi, huo ndio uzoefu wangu. Nimesema Pixel hazidumu hiyo kauli ni data driven sijakurupuka. Simu yako kudumu haibadilishi msimamo wangu, kwenye statistics kuna outliers.
Ukileta units kadhaa za Huawei, iPhone, Mi, Pixel na Samsung utakuta Samsung na Pixel ndio ziko prone kuharibika hardware. Hii haimaanishi nyingine haziharibiki, ila tunaangalia numbers.
Mimi ninayo 4xl 128,tangu 2020Na pixel 3a hapa toka July 2021 ipo poa tu nilinunua huko huko kariakoo kipind hazijazagaa
Hii miaka miwili iliyopita viduka uchwara vya simu vimekua ving sana hapa mjin nakushauri ukitaka simu jichanhe ununue mpya...
Simu used zilikua reliable before 2022