Simu za Huawei zinauzika balaa ulaya Samsung akina Samsung hoi

Techno mnawekewaga hata camera yenye MP 40 huko lkn ikipiga picha sasa,hata iphone 4 ina afadhali.

Inshort simu za Techno yale ma-specification yake hua ni kubwa jinga tu hakuna kitu pale.
Iphone 5s camera yake utaifananisha hata na tecno h6?

Iphone mbona kwenye camera wabovu sana, camera ya iphone inaonesha kama yale mawenge mawenge unapotoka kuamka
 
Wewe ndiye utakua umetoka bush tena chimbo haswa

Niambie camera ya iphone 5s utaifananisha na tecno gani zaidi ya tecno M3?

Iphone watupu kwenye camera na huo ndio uzaifu wao mkubwa kama ulikua huelewi
 
Wewe ndiye utakua umetoka bush tena chimbo haswa

Niambie camera ya iphone 5s utaifananisha na tecno gani zaidi ya tecno M3?

Iphone watupu kwenye camera na huo ndio uzaifu wao mkubwa kama ulikua huelewi
Weeee jamaa hujui simu and by the way watumiaji wa tecno huwa mna tabia za kimasikini za kujipa matumaini mahala ambapo hapahitaji mambo hayo... Sawa tecno wapo juuu juuuuu mawinguni kuliko iPhone, hopeful unakenua meno now
 
die hard fan wa tekino watakuua wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mimi si fan wa tecno, mimi nawakubali huawei ila kwenye ukweli lazima tuseme ukweli

Mwanzo nilisema kua iphone ni halali amechukuliwa nafasi na huawei kwasababu hata specs zake ni ndogo sana kiasi kwamba uki compare na tecno iphone amepigwa gape karibia seckta nyingi

Wewe ukakataa ukasema iphone kwenye specs yuko juu kuliko tecno, ukasema weka specs za tecno unayoiamini iko vizuri tushindanishe.

Baada ya battle umekubali kua specs tecno wako vizuri saizi tena nashangaa mnakuja na mada ingine kua RAM GB6 ya tecno kwa iphone ni GB4 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Weeee jamaa hujui simu and by the way watumiaji wa tecno huwa mna tabia za kimasikini za kujipa matumaini mahala ambapo hapahitaji mambo hayo... Sawa tecno wapo juuu juuuuu mawinguni kuliko iPhone, hopeful unakenua meno now

Hapana

Watumiaji wa iphone hua mnajipa matumaini kua mko katika standard za juu sana kuliko wengine, lakini je kitu gani kwenye iphone ambacho kinawapa matambo au nawewe umependa muonekano wa ile logo ya apple??
 
Samsung toleo jipya galaxy fold imeahirishwa baada ya screen kuvunjika wakati wa kuijaribia tu
Ndio kwanza imetoka na kufa
Daa kutangulia sio kufika kweli
Na Huawei wanachekea chooni
 
Nataka kujua kwenye swala la specification ipi iko juu?

Mkuu tatizo ni kua tuna experience na izo Simu zote ndo maana tunafinalize kwa kusema Iphone ni simu bora......specifications za tecno ni kubwa kwa namba lakini sio kwa operability...mimi nmetumia tecno kama 4 hivi Samsung za kutosha na sasa natumia Iphone ukiniuliza ntakujibu Iphone ni simu nzuri kuliko izo nyingine
 
wewe ulinunua xiaomi iliyotengenezwa ili kutumika china... zipo za ulaya na us na pia zipo za world wide.

So usilalamike
 
So kwkoo simu ni camera bora tu eh?watu wa selfie kazi mnayo
P30 pro imezishinda hizo samsung na iphone zenu katika kila aspect... kuanzia performance na kila kitu... shida hamtaki kufuatilia mambo
 
Nahisi umetia chumvi kiasi. Hali ya matumizi ya Huawei huko ulikotaja haijo kama unavyosema. Inaweza kuwa matumizi yameongezeka ukilinganisha na ilivyokuwa lakini si kama unavyoielezea. Yaani ni kama kutoka 1% kwenda 2%.
we ndio umeongea vizuri, maana vitu vingi vya ulaya ni made in china ila ubora ni tofauti na vinavyoletwa Afrika.
Zinazo kwenda huko sio zinazokuja huku kwenye dark continent
Tuanzie hapa.... umewahi kutumia huawei zinazouzwa ulaya na zinazouzwa worldwide ukaiona tofauti yake?
 
Samsung huyuhyu ambaye kila mwaka mauzo yanaporomoka af unasema ataendelea kushika soko are you serious... hivi unafatilia kweli hata kinachoendelea kwenye market shares.
Samsung wataendelea kushika soko hasa kutokana na ujio wa segment mpya ya Galaxy A10, A30 ........A80
 
Asee nikaamua nikagoogle niuone huo mzigo wa huawei p30 pro mmh balaa mbona View attachment 1076575
Labda kwa kuongezea tu nu kwamba hii simu imekuja na new technology kwenye camera.

Kuna Camera 4 pale nyuma ila kuna camera moja ambayo ndo ipo chini kabisa inaitwa Telescopic camera.

Unaifahamu telescope???

Basi hiyo camera imekuwa designed kwa muundo wa telescope. Yaani ukiachana na ile lens unayoiona nje kuna lens zingine mbili wamezifold kwa ndani kwa muundo wa telescope.

Sasa when comes to zooming ni balaa... simu inazoom 50× na unaona details clear....

Hakuna simu yenye jeuri ya kuzoom hivo au hata nusu ya hivo...
 
p30 pro inakaa na charge kuliko s10 plus pia ina performance nzuri kuliko s10 plus. Huu ndo ukweli....
 
Hizo huawei ulizotumia ni za kawaida kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…