Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
WANAONA KAMA TUNAWADHARAU.... SIMU YENYEWE HATA KWENYE TOP 20 ZA DUNIA HAIPOHahah jamaa hua wanahasira sana sijui shida ni nini kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WANAONA KAMA TUNAWADHARAU.... SIMU YENYEWE HATA KWENYE TOP 20 ZA DUNIA HAIPOHahah jamaa hua wanahasira sana sijui shida ni nini kiongozi.
Iphone 5s camera yake utaifananisha hata na tecno h6?Techno mnawekewaga hata camera yenye MP 40 huko lkn ikipiga picha sasa,hata iphone 4 ina afadhali.
Inshort simu za Techno yale ma-specification yake hua ni kubwa jinga tu hakuna kitu pale.
Sasa hapa tunabidi tujue nini kinachoipa iphone sifa?hiyo TEKINO, JAPO HAIJANISHAWISHI
Wewe ndiye utakua umetoka bush tena chimbo haswaIn short Ram 6 ya simu ya tecno au huawei huwezi ifananisha na ram 4 ya iPhone unless uwe umetoka bush leo, au camera ya MP 16 au hata 20 ya tecno au huawei huwezi fananisha na MP 12 ya iPhone mkuu, nimetumia iPhone, tecno na huawei so utofauti naujua kwa uthibitisho wa macho yangu sio kwa kuambiwa
Weeee jamaa hujui simu and by the way watumiaji wa tecno huwa mna tabia za kimasikini za kujipa matumaini mahala ambapo hapahitaji mambo hayo... Sawa tecno wapo juuu juuuuu mawinguni kuliko iPhone, hopeful unakenua meno nowWewe ndiye utakua umetoka bush tena chimbo haswa
Niambie camera ya iphone 5s utaifananisha na tecno gani zaidi ya tecno M3?
Iphone watupu kwenye camera na huo ndio uzaifu wao mkubwa kama ulikua huelewi
Hapana mimi si fan wa tecno, mimi nawakubali huawei ila kwenye ukweli lazima tuseme ukwelidie hard fan wa tekino watakuua wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee jamaa hujui simu and by the way watumiaji wa tecno huwa mna tabia za kimasikini za kujipa matumaini mahala ambapo hapahitaji mambo hayo... Sawa tecno wapo juuu juuuuu mawinguni kuliko iPhone, hopeful unakenua meno now
Sasa kama iphone sifa yake ni uimara wa ulinzi wa simu, tecno hana hiyo sifa, sifa yake ni nini?Yaani iphone ukiachana na uimara wa ulinzi wa simu hata kwa tecno haifiki
Specs tu zake inatosha kua sifa kuuSasa kama iphone sifa yake ni uimara wa ulinzi wa simu, tecno hana hiyo sifa, sifa yake ni nini?
Nataka kujua kwenye swala la specification ipi iko juu?
Niambie kwanini huawei siyo simu?Huawei ni simu sasa.???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Wachina wanajidai kila mtu duniani anajua lugha yao...kuna siku nilisoma uzi mmoja hapa unazisifia Xiomi na mimi nikaona niagize ya kwangu yani mwanzo ulikuwa mgumu sana kila mahali ni kichina tupu hadi nikataka kuitelekeza nikahisi nimeingizwa mkenge. Hata hizi Huawei Japo sijawahi kutumia ila bila shaka nazo zitakuwa na ujinga kama wa Xiomi wa kujaza kichina kwenye simu.
P30 pro imezishinda hizo samsung na iphone zenu katika kila aspect... kuanzia performance na kila kitu... shida hamtaki kufuatilia mamboSo kwkoo simu ni camera bora tu eh?watu wa selfie kazi mnayo
Weka source ya taarifa yako mkuu.
Vinginevyo unajaribu kuipa promo huawei yako uliyonunua juzi
Nahisi umetia chumvi kiasi. Hali ya matumizi ya Huawei huko ulikotaja haijo kama unavyosema. Inaweza kuwa matumizi yameongezeka ukilinganisha na ilivyokuwa lakini si kama unavyoielezea. Yaani ni kama kutoka 1% kwenda 2%.
we ndio umeongea vizuri, maana vitu vingi vya ulaya ni made in china ila ubora ni tofauti na vinavyoletwa Afrika.
Tuanzie hapa.... umewahi kutumia huawei zinazouzwa ulaya na zinazouzwa worldwide ukaiona tofauti yake?Zinazo kwenda huko sio zinazokuja huku kwenye dark continent
Samsung wataendelea kushika soko hasa kutokana na ujio wa segment mpya ya Galaxy A10, A30 ........A80
Labda kwa kuongezea tu nu kwamba hii simu imekuja na new technology kwenye camera.Asee nikaamua nikagoogle niuone huo mzigo wa huawei p30 pro mmh balaa mbona View attachment 1076575
p30 pro inakaa na charge kuliko s10 plus pia ina performance nzuri kuliko s10 plus. Huu ndo ukweli....Sijafahamu kitu japo sina wazimu wa kukurupukia simu na declare ni muumini wa sammy owning a s8+na sijawahi nuna kwa hii simu.
Back to topic nimefanya compariso ya galaxy s 10 na huawei p30 ukiondoa mp kwenye camera naona specs za sammy zinatisha sasa sijui mleta hoja katumia ufananishi upi kuja na hitimisho kuwa huawei ni nyoko?
Nilitembelea gsm arena
Uzuri nimewahi kutumia simu brand tofauti tofauti nimetumia Huawei P6, P7 na Y6II, tecno nilitumia hizi phantom na camon cx, iPhone 4s, 5s na 6 plain, Samsung s5 na mwaka huu nikajichanganya kununua infinix hot 7 ila all in all iPhone itabakia kua simu bora zaidi kuwahi kuitumia maishani kuanzia kwenye quality ya camera, speed ya simu, security ya simu, portability etc. Nachojua kila mtu ana mahaba yake binafsi, wapo ambao huwaambii kitu kuhusu Samsung like mke wangu ni yule die hard wa Samsung phones, so kila mtu ana mapendekezo yake kulingana na uhitaji wake